Recent content by Lhey

  1. Lhey

    Natafuta pikipiki used

    nahitaji pikipiki used yenye afadhali. Iwe :- boxer bm150 au sanlg150 au TVS bei:- around milioni 1. Isizidi sana eneo:- Dar es salaam e-mail:- lheysaid@gmail.com
  2. Lhey

    NATAFUTA PIKIPIKI YA BEI NAFUU/iliotumika

    umeshaiuza pikipiki yako!
  3. Lhey

    Okoa page hii ya kitanzania facebook

    KWA WATUMIAJI WA FACEBOOK Like page ya TANZANIA NEWS AND SPORTS na upate breaking news za kitaifa na michezo. page hii inahitaji like za watanzania ili iwe promoted. like @www.facebook.com/tanzanianewsandsports
  4. Lhey

    Kwa Tatizo lolote la Computer. Nione

    kuna setting za "dock" pale unapobofya f2 wakati wa kurestart. ukishaziona hizo setting unaweza kudock then mambo yakaenda fresh, jaribu kuitumia hiyo. sorry kwa kuchelewa kujibu
  5. Lhey

    Kwa Tatizo lolote la Computer. Nione

    mr.kicheko, motherboard kama ina matatizo unatakiwa ucheki function moja baada ya nyingine... kuanzia hard disc, processors na everything ,paka tatizo linaonekana
  6. Lhey

    Kwa Tatizo lolote la Computer. Nione

    Washkaji msinichukulie nipo kinjaa.. sijawahi kumtengenezea mtu pc kwa hela... nimeweka neno gharama ili nipunguze idadi ya watakao nitafuta. kuhusu producer mimi ni producer pia... kipaji changu cha utengenezaji filamu kinaendana na sana na ujuzi wa computer... nipo sawa kwenye maswala yote...
  7. Lhey

    Kwa Tatizo lolote la Computer. Nione

    hilo swala ni dogo. fanya mchakato tuonane
  8. Lhey

    Kwa Tatizo lolote la Computer. Nione

    yeah... nitafute nilichek tatizo
  9. Lhey

    part time job computer science.

    nikutafutaje!!!
  10. Lhey

    part time job computer science.

    Mimi ni mwanafunzi wa ifm hapa Dsm. Ninachukua bachelor ya computer science. Ninatafuta kazi ya part time ktk ofisi yoyote inayohitaji urekebishwaji wa computer. Either kwenye maduka ya computer, ufundi wa computer na ofisi yoyote ile. Sijali kuhusu mshahara. Wowote utanitosha ili mradi niwe...
  11. Lhey

    Spare za pikipiki Tabora

    kwa wale wakazi wa Tabora mjini. Kuna duka la vipuri/spare za pikipiki za bei nafuu kuliko kawaida. Hili duka linauza kwa rejareja. Linaitwa yarabi salama autospares. Lipo mtaa wa mahakama ya mwanzo nyuma ya jengo kuu la ccm tabora.
  12. Lhey

    Kwa Tatizo lolote la Computer. Nione

    Mimi ni mwanafunzi wa bachelor of Computer science. Ni mzima sana katika matatizo ya computer. Kifupi ni kwamba, sishindwi na tatizo lolote la computer. Kwa anayehitaji msaada wa kiufundi. Anitumie e-mail kwenye lheysaid@gmail.com sina gharama kubwa
  13. Lhey

    Natafuta Waigizaji wa movies

    Mzuka sana wakubwa.
  14. Lhey

    Natafuta Waigizaji wa movies

    NIKIWA KAMA PRODUCER NA DIRECTOR WA MOVIES, NAPENDA KUTANGAZA KUWA NATAFUTA WAIGIZAJI WENYE UWEZO WA KUIGIZA AMBAO HAWAJATOKA KISANAA NA WANA NDOTO ZA KUTOKA, WAJIUNGE NAMI KATIKA KUFANIKISHA NDOTO ZAO PAMOJA NA NDOTO ZA KAMPUNY YANGU AMBAYO NI CHANGA SANA. VIGEZO NI JITIHADA BINAFSI PAMOJA NA...
  15. Lhey

    Essien kutua Arsenal

    Itakuwa poa sana...
Back
Top Bottom