Essien kutua Arsenal

CHIEF MVUNGI

Member
Apr 6, 2012
99
14
kiungo mkabaji wa chelsea mghana Michael Essien anatarajia kutua Emirates kwa mkopo saa chache zijazo kama mambo yatakwenda sawa
 
Arsenal na ubahili wao, wanachukua magalasa. Yaani huyo dingi Essien ndio anategemewa kuchukua ya kijana Song?
Nadhani Wenger ameamua kucheza kamari, nina wasiwasi muda wa Mzee Wenger kubaki Emirates unahesabika, akifaulu kuifanya Arsenal kuwa bingwa EPL nitaamini kuwa kweli Wenger ni Proffesor.
 
Essien yupo Spain akizungumza na Real Madrid.

Chelsea hawawezi kumuachia Essien aende Arsenal ni kwasababu za kiufundi..
 
Michael Essien amesaini mkataba wa kuichezea Real Madrid kwa mkopo wa msimu mmoja.

Wakati huohuo ile klabu yenye mafanikio zaidi katika soka hapa nawazungumzia Rosoneli ama red & black ama AC Milan wamefanikiwa kumsajili Dikteta wa Kiungo Generali Nigel De Jong...

Forza Milan
 
Sawa kabisa kiongozi Essien ako real madrid kwa the special one
 
usajiri umeishafungwa: Asernal na Chelsea hakuna cha ziada; Man U tumetulia; Man City wazidi kuwarundika; Liverpool nao wajiimalisha.
 
Arsenal na ubahili wao, wanachukua magalasa. Yaani huyo dingi Essien ndio anategemewa kuchukua ya kijana Song?
Nadhani Wenger ameamua kucheza kamari, nina wasiwasi muda wa Mzee Wenger kubaki Emirates unahesabika, akifaulu kuifanya Arsenal kuwa bingwa EPL nitaamini kuwa kweli Wenger ni Proffesor.

Atakayeziba nafasi ya Song ni Jack boy na si Essien, bwana huyu anachukuliwa kwa mkopo kuimarisha nafasi ya kiungo
 
Arsenal na ubahili wao, wanachukua magalasa. Yaani huyo dingi Essien ndio anategemewa kuchukua ya kijana Song?
Nadhani Wenger ameamua kucheza kamari, nina wasiwasi muda wa Mzee Wenger kubaki Emirates unahesabika, akifaulu kuifanya Arsenal kuwa bingwa EPL nitaamini kuwa kweli Wenger ni Proffesor.

Vyanzo vya uhakika vinasema Essien was offered to Arsenal (not the other way round). Arsenal rejected politely. But you have jumped to conclude then, oh well.
 
Kashaisha huyo Essien hana lolote nafuu asajiriwe na Simba ili kufuta machozi ya Twite
 
kiungo mkabaji wa chelsea mghana Michael Essien anatarajia kutua Emirates kwa mkopo saa chache zijazo kama mambo yatakwenda sawa

Hivi we hukua hata na chembe ya aibu ukaamua kuanzisha post ya namna hii.. Tangu lini wenger akawa na maamuzi kama akina fergie na morinho?!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom