Recent content by LGFumbuka

  1. L

    Naomba kufahamu tabia za Wanawake wa kikurya.

    Tabia zao ni sawa tu za wanawake Wamakonde. Hutahiriwa kwa wembe kavu kavu, sawa na Wamakonde kuchanja urembo usoni kwa wembe kavukavu bila anesthesia. Jiandae.
  2. L

    Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

    Kuna kitu kimoja hakikwepeki. Ule ujumbe uliovuja kumbeza Magufuli kuwahusisha Nape na Kinana na Makamba wote wawili hauwezi kupotea hivi hivi, nao Kila wakipata nafasi ya kujikosha wabajikosha. Hayo ya kufungwa na mikitano na nini ya 2020 ni kujikosha tu, walioumia ni wale waliostahili kuumia...
  3. L

    Lowassa ametibiwa kwa kodi zetu, si hisani ya Rais Samia!

    Hii ni sawa na kumwambia Yesu Kristu ilikuwa ni wajibu wake kukukomboa kwa kukufia msalabani. Sijui unaelewa? Au kumwambia Mama yako alikuwa ni wajibu wake kukuzaa kwa sababu Katiba yetu inatoa haki ya mtoto kuzaliwa? What is wrong with you guys? Miaka 63 ya uhuru, bado huna shukurani? Huna adabu?
  4. L

    Msaada wa kuwatoa mafisadi jimbo la Solwa 2015

    Good luck my friend. The trouble with Solwa is that it is like a large bank: too big and too important to be allowed to fail. Anyone who is anybody in this nation must have got Solwa's blessings first - from UWT to NEC to the presidency. You see them only at vote time - they must come and they...
  5. L

    Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)

    Bwana Mohamed Saidi: nakupongeza kwa kutuletea kitabu hiki, Mie nilishasoma original version ya Kiingereza, kwa hiyo nasikitika kuwa translation haikuwa 100% nahisi translator hakuwa mahiri kama wewe au Kiswahili hakinia vibwagizo vilivyoko kwenye Kiingereza kwa hiyo utamu kwa kiasi fulani...
Back
Top Bottom