Recent content by lewis acid

  1. L

    TAKUKURU MPO?; Hivi ndivyo Tanesco inavyoiba fedha za Askari Magereza na askari polisi

    Asalam Aleykum wanabodi. Nimekutana na mkasa wa kusikutisha kidogo, wakati Mhe. Rais anawaambia watanzania watembee kifua mbele, hali ni tofauti sana. Kuna watendaji wa mashirika ya umma wanapiga dili kwa kasi ya ajabu. Ile kauli ya mhe Rais aliyosema "Kata umeme" mameneja wa Tanesco...
  2. L

    Video Mpya ya kwao Rostam (Roma & Stamina) Ft. Maua Sama , Wimbo Unaitwa " Kibamia (KIBA_100) "

    Wimbo umejaa matusi huu. Haufai kusikiliza mbele ya watu waliokupika rika au umewazidi rika maana utaonekana huna adabu.
  3. L

    Wanawake, hivi kupika vizuri lazima mjaze mafuta kibao kwenye chakula?

    We ukiona mume wako unamlisha unadhani kila mwanaume ameolewa kama mumeo?
  4. L

    Wanawake, hivi kupika vizuri lazima mjaze mafuta kibao kwenye chakula?

    Najua hapa haisaidii lolote maana mke wangu hayupo humu ila nimeandika wanawake wenye tabia kama hii waache. Kwa namna moja najaribu kusaidia jamii yangu kupitia andiko hili Unadhani kila mtu akiamua kufanya mambo yake yeye kama yeye humu jf kuna mada italetwa? Ndio maana jf ni darasa na jf ni...
  5. L

    Wanawake, hivi kupika vizuri lazima mjaze mafuta kibao kwenye chakula?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sitamuacha mke wangu kwa sabab ya mafuta kwenye chakula, ila hali hii inakwaza sana mkuu. Ngoja nipambane na hali yangu.
  6. L

    Wanawake, hivi kupika vizuri lazima mjaze mafuta kibao kwenye chakula?

    Acha kuleta weak arguments, wapi nimesema wanawake wote? We kubali kataa hili ni tatizo jipya limejitokeza kama kwako halipo basi kwa baadhi ya ndugu zako lipo. Ukinuna sawa ila huo ndio ukweli, kuna wanawake wengine ni hovyo mno.
  7. L

    Wanawake, hivi kupika vizuri lazima mjaze mafuta kibao kwenye chakula?

    Hahahaaaa mkuu kuajiri mtu ni ngumu yeye ataelewa tu.
  8. L

    Wanawake, hivi kupika vizuri lazima mjaze mafuta kibao kwenye chakula?

    Nimesema mno, mpaka kwa friends zangu naona huu ugonjwa upo karibia sehemu nyingi kwa sasa. Kama kwako hakuna hili tatizo shukuru Mungu, jaribu kutembea nyumba mbili tatu utapata majibu. Hapa JF kuna watanzania wengi sana lazima niwambie wajue na wachukue tahadhari, Sharing is caring
  9. L

    Wanawake, hivi kupika vizuri lazima mjaze mafuta kibao kwenye chakula?

    Mkuu nimeshaongea nae mno lakini wapiiii Ataacha leo kesho mafuta kedekede. Sasa napata hasira kugombana na mke wangu kisa jambo dogo kama hili, yaani ni jambo dogo mno lakini mwenzangu haelewi kabisaaa.
  10. L

    Wanawake, hivi kupika vizuri lazima mjaze mafuta kibao kwenye chakula?

    Jamani kuna jambo linanikera kwelikweli, Kuna kasumba imeota mizizi kwa sasa, sijui niseme wanawake hawajui kupika au wanadhani wanaume tunapenda mafuta sana. Hii tabia ya kumwaga mafuta kwenye chakula ni tabia ya hovyo mno, mtu unatoka mishe mishe una njaa unafika home unajisemea kimoyo...
  11. L

    Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    We unadhani wanaume wana shida kiasi hicho? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Endelea kuuza sura tu
  12. L

    Ushauri: Nataka nikope 10millions niache kazi serikalini, ili nijiajiri

    Nashukuru pia kwa mchango wako mkuu Najua watu wa kila aina wapo humu.
  13. L

    Ushauri: Nataka nikope 10millions niache kazi serikalini, ili nijiajiri

    Mtumishi wa serikali anakopa kwa kutumia mshahara mkuu. Maswali mengine majibu yake yapo kwenye post yangu humo humo
Back
Top Bottom