Wanawake, hivi kupika vizuri lazima mjaze mafuta kibao kwenye chakula?

Tatizo la wanaume wa kiafrika mmekariri kua mwanamke tu ndo anatakiwa akae nyumbani apike. Top chef duniani top 10 wote ni wanaume, ukiangalia top 100 utakuta wanawake chini ya 20%. Kama unaona tatizo ni mafuta nyumbani kwako nenda kwa huyo mwanamke wako uliyemgeuza mtumwa mwambie apunguze mafuta. Wengine tunapika wenyewe hatutegemei wanawake kutupikia.
 
Marioo utawajua tu...sasa kama mkeo ndiye anayeleta chakula nyumbani wewe hauna jinsi lazima akuburuze upike ,ufue nk..ukijifanya mbishi atakutimua
 
Marioo utawajua tu...sasa kama mkeo ndiye anayeleta chakula nyumbani wewe hauna jinsi lazima akuburuze upike ,ufue nk..ukijifanya mbishi atakutimua

Sijaoa alafu nina pesa, simtegemei mwanamke wala mtu yeyote yule. Hata kujisomesha nilijisomesha mwenyewe toka secondary hadi chuo nje ya nchi. Siyo kila anayepika analelewa kama mlivyozoea vijana wa kibongo, tatizo lenu uvivu tu. Napika ndiyo, kufua sifui kuna machine kwa kazi hiyo.
 
Tatizo la wanaume wa kiafrika mmekariri kua mwanamke tu ndo anatakiwa akae nyumbani apike. Top chef duniani top 10 wote ni wanaume, ukiangalia top 100 utakuta wanawake chini ya 20%. Kama unaona tatizo ni mafuta nyumbani kwako nenda kwa huyo mwanamke wako uliyemgeuza mtumwa mwambie apunguze mafuta. Wengine tunapika wenyewe hatutegemei wanawake kutupikia.
Wewe kujipikia usiifanye iwe justification ya wanawake kutumia mafuta mengi.
Mtu ni afya.
 
Nili wai kupikiwa chakula na kidemu changu wa back nasoma chuo aisee kikaja kina wese lina elea juu juu.. afu zilikua ndizi mzuzu mixer utumbo na mboga za majani kidogo mixer maharage kwa mbali kiharufu cha nazi na tagawizi kina ita... nime toka kuoga nika sema leo hili mixer lita nikoma ..

Nilipo funua poti nika kutana na wese juu... nili kasirika mbaya nilicho fanya nili mimina kwenye mfuko nika mwambia katupe ... ali lilia sana .... HIVI KUMBE WANAWAKE HAMPENDI KUSUSIWA CHAKULA MLICHO PIKA ???? Nili jifunza pia kumbe wanawake hawa pendi hii kitu “ yani ahangaike kupika afu usile bila sababu ya msingi?” Trust me kesho utakutana na chakula cha ajabu sana..

Anyway back to story toka siku hio akapata somo kua sipendi wese. Haku pika tena! Na akawa mtaalamu waku nipikia misosi flani amaizing.. Japo tuli achana ila Dah! Alikua anapika yule mwanamke aise!
 
Acha uongo unaweza kututhibishia kuwa ugonjwa wa Sukari na pressure unasababisha kwa kutumia mafuta mengi. Hizi elimu bhana upotoshaji mtupu
 
Hakuna kitu nakichukia kwenye chakula kama mfuta mengi,nikiyaona na hamu ya kula inaisha.
 
katika vitu sivipendi katika chakula no1 ni mafuta. na hata nikiweka bahati mbaya. siwezi kula kabisa.
kama mtu anapendaa mafuta mengi hawezi ishi nami.
Hawa najisikia kichefuchefu nikiona mafuta mengi kwenye msosi
 
Malezi yanatofautiana kila familia ina upishi wake zipo familia zinapendelea chumvi kibao , wengine wanapendelea mafuta mengi .Kwahiyo ni kiasi cha wewe kumuelekeza tu naona kabisa ataelewa sio lazima umseme huku mjengoni
 
Tatizo la hawa viumbe hawashauriki wala hawafundishiki, ukijaribu kumwelekeza anaona km unamdhalilisha. Utashangaa hiyo mafuta aliyojaza wala yeye hali sana ataonja onja tu, anataka we ndo ule
 
Back
Top Bottom