Recent content by Leviz

  1. L

    M-Koba na M-wekeza?

    Uwezo wako wa kufikiri upo fixed kiasi kwamba hata kuelewa unapata shida na umejawa na ujinga kwa ubishi usio na tija , sina Shaka kwamba Una low IQ na sipaswi kukupa muda kukusikiliza.Kwaheri!!
  2. L

    M-Koba na M-wekeza?

    Tunaomba mrejesho kama ulifanikiwa sisi pia tunataka kujua ili tujue pa kuanzia
  3. L

    M-Koba na M-wekeza?

    Sasa kwani akiuliza huku kuna shida gani, mbona kama point yako sio ya msingi ...Mtu anapouliza kitu katika forum anataka apate experience za watu , elimu mbalimbali kuhusu Mada husika ili aweze sio tu kufanikisha jambo lake Bali pia awe ameongeza kitu katika jambo analolitaka kufanikisha aidha...
  4. L

    M-Koba na M-wekeza?

    Vipi umefanikiwa kupata taarifa uje na mrejesho
  5. L

    Nimeapply field tangu mwezi 4 bado sijapata field. Naomba usaidizi

    Habari zenu Wana JF. Nimeapply Kwa Ajili ya Field Tangia mwezi wa 4 ila bahati mbaya mpaka sasa sijapata field. Mwenye msaada anisaidie tafadhari Tunaanza field tarehe 21/7 na kumaliza tarehe 12/9 nipo mwaka wa pili UDSM Course ni BCOM IN BANKING AND FINANCIAL SERVICES. Natanguliza shukrani
  6. L

    Mafundi simu nawahitaji sana!!!. simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine

    Habari ndugu Wana JF ,nilinunua simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine kwaiyoo nataka kuwauzia kioo ch Google pixel 5A kwa sh 230,000
  7. L

    Watu wanaopenda Internet data njooni apa

    Jamani Wana jF naomba kuuliza haya mabando ya halotel yanayouzwa 6000/= _5gb 10,000/=_10gb 20,000/= _20gb yanapatikana wapi kwa bei ya jumla na unaanza kununua GB ngapi ili itusaidie sisi content creators na wafanya biashara. Yanapatikana wapi na yanatolewa kwa vigezo Gani?
  8. L

    Naomba kupata Elimu juu ya Fursa ya uwekezaji kupitia kampuni ya utalii mkoani Arusha

    Habari Ndugu zangu Wana jF naomba kupata Elimu juu ya Fursa ya uwekezaji kupitia kampuni ya utalii mkoani Arusha 1.Usajili wa kampuni ya utalii 2.Vigezo ili uweze kusajili kampuni iyo 3.Masoko ya watalii na wapi pa kuyapata 4.Pia wafanya wa muhimu ambao unapaswa kuwa nao Pia lugha ambazo...
  9. L

    Car4Sale Isikupite na hii wahi sasa

    call: Price/bei 22,800,000 Hotline: 0695022051 SUBARU FORESTER FOR SALE (EER Cc 1990 Year 2012 mileages 51325km Automatic Adroid radio/bluetooth Full Ac Clean interior Forg lights New four tyres GARI NZURI YA JUU✅✅
  10. L

    Dualis inauzwa hii ni offer ya kufunga mwaka

    Habarini Wana JF napenda kutoka offer ya kufunga mwaka Naitoa kwenu Dualis kwa 13.8Million Gari nzuri sana Piga 0695022051
  11. L

    Car4Sale Offer ya DISEMBA hii apa

    Habarini Ndugu Wana JF, Nimewaletea offer ya DISEMBA pata IST. Number DS kwa 13.8 million tu Piga 0695022051 #uje kuikagua uondoke nayo
Back
Top Bottom