Recent content by levi makalanga

  1. L

    JamiiForums Tanzania Clouds TV mnatia aibu!

    We bado unaangalia clouds TV? Una muda mwingi wa kuchezea
  2. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sikuhitajika na Wakubwa!

    Tuko nae till the end...Mungu anakusudi na huyu mzee.Saa ya ukombozi imewadia.Misukosuko aliopitia huyu mzee ina hatima njema.Mungu sio dharimu na wala hadhihakiwi.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kimya hiki kina mshindo wake mkuu

    Sipati picha funguka makene
  4. L

    JamiiForums Tanzania GE2015 UKAWA na Lowassa unganeni mchukue nchi, wakati ndio huu, mkipuuzia huu ushauri basi tena!

    Kaka umenena and am telling you in the next few hrs this country is going to shake.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa sasa analilia UKAWA?

    Lowasa anaakili kuliko mnavodhani.Amepata kibali mbinguni na duniani.Mlango 1 ukifungwa mwingine unafunguka.Endeleeni na majungu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Ambae hana dhambi awe wa1 kumpiga mawe lowasa.Ni mtanzania kama ulivo wewe...anahaki zote kama ulivowewe na zaidi ya hapo anawafuasi ambao ndio mtaji kisiasa kuliko wewe.Kama ni mapungufu hata wewe unayo ni Mungu tu anakufichia siri.Chadema bebeni huyu jamaa ni karata dume.Aliebarikiwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ndege wa angani hawalimi Ila wanakula, Kuna mambo haya matano (5) pia wanakuzidi ujanja

    Ishu sio kuwahi kuamka ila ishu unapoamka mapema asubui unaenda wapi kufanya mini sio kurandaranda eti unajilinganisha na ndege.Mipango na mikakati ya namna ya kufanya jambo flani ndo kinachotakiwa.Tuliza akili panga vitu ingia kwenye utekelezaji.Binadam na ndege wapi na wapi.wao wanachotafuta...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Mkoa wa Mara kuna busara ya hali ya juu hakuna unafiki

    Mkoa wa Mara ni wakipekee sana jamaa hawaongeagi mara2 na hawarudi nyumba.kuwa mwangalifu unapodil na hawa jamaa
  9. L

    JamiiForums Tanzania Bloggers Michuzi, Milard Ayo na wenzenu wenye mawazo haya, rudini shule

    Washamba2 bora umewakumbusha
  10. L

    JamiiForums Tanzania Channel Ten, Yule mgombea aliyekuwa na ushawishi yuko wapi?

    Hawana akili walidhani lostam na lowasa wake ndo wenye nchi hii.yaani wanaboa
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kukata watu makoromeo yaendelea kutikisa Wilaya ya Bukoba

    Tiss ninavowajua mm kazi yao ni kudili na wagombea tu.wako bize na siasa but not security affairs. Security inatakiwa kucover maeneo yote ambayo ni social, economical na political security ila hapa bongo hawa jamaa utakuta wako bize kufatilia mikutano ya chadema na kuizuia ila sio kufatilia...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kujenga kwa mkopo wa Tsh 40,000,000/=

    Mainjinia wa bongo ni wapigaji na kazi wanazofanya bora hata Fundi wa mtaani Kingereza kireeefu kumbe anamanisha tofari.kaka hiyo hela ni nyingi Sana ilimtadi usijenge gorofa na ubishoo usio na maana.Nunua material mwenyewe na usimamie kazi we mwenyewe.usiweke kijimtu kinajiita consultant...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Azam TV yabadili habari, yaajiri watangazaji wapya

    Tatizo mzee mengi halipi watangazaji na waandishi wake.Azam ndo habari ya mujini
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Bila kubadili culture ya wachanga mji wa moshi hauwezi kuwa na hata hotel kubwa za level ya 5*.Tatizo wachaga ni wakabila sana when it comes to land.Hawako tayari mtu atoke huko aje afanye investment kwenye eneo lao.Wako radhi watembee na kandambili miguuni kuliko kuuza kipande cha ardhi tena...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Interview M-POWER (Off-Grid Electric Coy)

    Jamaa wako vzr hamna longolongo na cheap sn.nimewaona maeneo flan ya mkoa wa Kilimanjaro.go for it wala usiogope ni elfu 10 kwa mwezi
Back
Top Bottom