Jukwaa Zima hakuna aliyeitwa? Au ndo yale yale cause kwenye comments za mwanzoni Kuna mtu alisema Kuna jamaa yake ameitwa kwenye oral but kwenye written interview hakuitwa! !!!!!!
Hakuna mgombea aliyeeleza vipaumbele vyake leo cause angeonekana anafanya kampeni kabla ya wakati. Na kuhusu fomu ya ubunge amesema hatua zitafuatwa. Nothing wrong alichofanya
Hi JF doctors. Mara nyingi nimekuwa nikiambiwa siruhusiwi kunywa dawa Kwa maji baridi but sijawahi kujua reason behind.
Mwenye uelewa wa hili naomba majibu.
Sidhani kama itakuwa busara kutembea nae cause watu wote watajua ulikuwa unamtetea ili upate wewe hizo Mali. As far as umeshaona dalili zote ni vizuri mkayazungumza na consequences zake ziwekwe hadharani. Ukishaanza mahusiano ya kimapenzi and mkaja kutofautiana atakosa pa kukimbilia
Mada nzuri Sana. Naamini Dr Slaa ni mzuri zaidi ya Lowassa. Ni kweli Lowassa ana mtaji wa watu lakini kutuaminisha kwamba Lowassa ni presidential material bado.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.