Recent content by Lesutu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kutana na kijana Issa Haruna, mke wake na mwanae

    ASTAGHAFIRULLAH! we mwana we!
  2. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

    Awe waziri wa fedha tu asijali.... "Mchawi mpe mwanao akulelee"
  3. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

    R.I.P Elisha Nilikuwa namkubali sana. Ni pigo kwa tasnia ya habari. Poleni TBC Poleni tasnia ya habari Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Afariki kwa kunywa Methanol

    Hivi zile sheria/kanuni/taratibu za maabara walizielewa kweli! Wape pole walionusurika.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Feast your mind today

    Naanza kuona umuhimu wa Ras Simba Wallah! Napitwa hivi hivi!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba kanizimia simu toka asubuhi. Nakusanya tu ushahidi

    Wakikupa miezi 6 au Mwaka kama fidia naomba tafadhali aidha ununue boti au ukajifunze kuogelea. Hiyo fidia ya kupewa miezi mingine ya kuishi kwenye 'SWIMING POOL' nadhani itapendeza.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hatimae Jombi kamaliza salama shahada uhandisi Mitambo (Mechanical engineering)

    Mbona msaada wa "WATOTO WA CHUO WANACHOPENDA" hujawaambia. Msaada wako haujakamilika ndugu mjumbe.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Usisaidie masikini, acha wafe

    Mada fikirishi sana hii... Mleta mada kama nilivyomuelewa hajazungumzia umasikini kipato bali umasikini wa roho. Mtu hata kama ni ana mali nyingi kama ni masikini wa roho haoni tabu uwezo wake kuwa anguko la wengine. Nawafahamu matajiri wengi wengi waliofariki wakiwa hawana mali zozote na wapo...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza halina taa za barabarani

    Na huko igoma, stendi ya nyegezi na pasiansi ni katikati ya jiji? Kuna wachangiaji wameongelea maeneo yenye/yasio na taa nami nikaweka uzoefu wangu.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Tete Kafunja, Mtanzania aliehukumiwa kunyongwa kwa kesi ya kubambikiwa na kusota miaka 18 jela

    Mungu amtie nguvu. Hii dunia ukiamka salama na kurejea kwako salama mshukuru sana Mwenyezi Mungu. Inasikitisha sana kumpotezea mwenzio utaratibu wa maisha yake kwa miaka 18. Dah!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza halina taa za barabarani

    Kutoka mataa ya nyerere road-sekou toure- Isamilo(mji mwema) mpaka Kilimahewa big bite barabara ina taa za barabarani za sola. Nadhan ni kwa baadhi ya maeneo na sio Mwanza yote ni giza. Nazungumzia uzoefu na hata leo nimepita njia hiyo nikirejea nyumbani.
  12. L

    JamiiForums Tanzania My 20 laws of power

    Noted.... Na ndio ukweli wenyewe.
Back
Top Bottom