Samahani niko nje ya maada mkuu nmependa dp yako. Nmeichukua kama hutajari15.Maneno ya kejeli yanakufanya uwe vile unavyoyasema,maneno yako yanaamua uwe vipi, kuwa mtu chanya muda wote sema maneno mazuri.
huu ndio ugonjwa wetu walio wengi hapa JF, hadi tunakejeli chakula chetu mezani kabla ya kula!
Ruksa mkuu, chukua na usisahau kumgawia mwenzako!Samahani niko nje ya maada mkuu nmependa dp yako. Nmeichukua kama hutajari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hpa nacheka kila nikikaangalia haka katotoRuksa mkuu, chukua na usisahau kumgawia mwenzako!
Ukiacha namba 10 , hayo mengne nahisi uliiimba point kwenye maandalio ya Kitabu changu cha "The succesed farmer in sub sahara"1. Usikopeshe zaidi ya kile ambacho huwezi kukipoteza.
2. Yeyote anayekukopa kitu chukulia kuwa hatokulipa kabisa, ishi katika hali hiyo.
3. Juzuie kusema mambo yako binafsi unapokuwa na watu, utaweza kujizua kuwa mmbea wa kusema mambo ya wengine.
4. Kuwa bize na mambo unayoyataka na kupenda yatokee katika maisha yako,unapokuwa bize kupingana na usiyoyataka jua unapoteza energy yako katika kuyapinga,tumia energy hiyo katafuta unayoyataka.
5. Usipangie mahesabu pesa iliyo mikononi kwa mwingine hata kama ni yako.kilicho kwako ndio chako.
6. Unapodaiwa na mtu laki moja alafu mshahara wako ujao ni laki tano basi hakikisha unaelewa na unajiseti kiakili kuwa mshahara huo ni laki nne tu.
7. Kuwa mpole na mkarimu kwa watu wanaokuchukiza na kukukera ndio ustaarabu wa kweli kwako itakufanya uzidi kuheshimika na wala usitafute heshima kwa nguvu.
8. Usikubali kuchangia kuwasema wengine wasiokuwepo,kwani na wewe usipokuwepo wengine watakusema pia.
9. Lolote unalohisi kuwa unalihitaji katika maisha yako basi anza kulifanya sasa hivi japo kidogo kidogo.hakuna kitu baadae.muda ni sasa hivi.
10. Kumbuka kuwa ni bora kuajiriwa katika kazi unayoipenda kuliko kujiajiri katika biashara unayoichukia.
11. Hakuna kitu hakihitaji shukurani,hakikisha unashukuru katika kila jambo lako linalotokea ama unalofanyiwa
12. Usikosoe chochote ulicholetewa na mtu iwe zawadi ama ulimuagizia,sifia akiwepo na kosoa akiondoka tena ukiwa peke yako.
13. Kama mtu ana tabia ya kukukopa sana hakikisha usimdai pale tarehe ya malipo ikipita,hiyo itakufanya uwe na hoja ya kutokumkopesha tena akija kukukopa.
14. Weka akiba ya maneno.bora umtetee mtu muovu mbele za watu kuliko kumsema vibaya mbele za watu. Hutojutia kimya chako bali neno lako ndo hulijutia zaidi.
15. Maneno ya kejeli yanakufanya uwe vile unavyoyasema,maneno yako yanaamua uwe vipi, kuwa mtu chanya muda wote sema maneno mazuri.
16. Usimkejeli mtu mmoja ili uwafurahishe watu mia moja,watafurahi kwa sababu ya kukusitiri wewe ujione kama umewafurahisha kweli lakini nao umewahuzunisha.
17. Unapotaka kumfanyia ubaya mtu kwa sababu ya nafasi yako au cheo chako kumbuka kuwa hiyo sio mwisho wa kukutana nae.fikiria mbele.
18. Ukiwa haukuweza kuwa na demu mmoja wakati wa ubachela wako,basi jua kuwa ni ngumu kutulia na mke wako mmoja.
19. Idadi ya wanaokusifia wakati upo nao ni ndogo kuliko idadi ya wanaokuponda wakati haupo,hayo ni maoni yao,kuwa bize na mambo yako.
20. Usimsaidie mtu huku unakilalamikia juu ya unachompa kwamba unakihitajia na kinakusaidia,atapokea shingo upande na hato appreciate msaada huo.
Hayo ni mambo nayaishi kabla ya kitabu chako.Ukiacha namba 10 , hayo mengne nahisi uliiimba point kwenye maandalio ya Kitabu changu cha "The succesed farmer in sub nimek
Bado hakijatoka.Hayo ni mambo nayaishi kabla ya kitabu chako.
Uzuri ni kuwa sijawahi kukiona kitabu cha aina hiyo ama jina hilo toka nizaliwe
Unanikumbusha kitabu kimoja cha "the power"15.Maneno ya kejeli yanakufanya uwe vile unavyoyasema,maneno yako yanaamua uwe vipi, kuwa mtu chanya muda wote sema maneno mazuri.
huu ndio ugonjwa wetu walio wengi hapa JF, hadi tunakejeli chakula chetu mezani kabla ya kula!
😂 😂 😂Usipende kusikiliza bongo fleva hasa nyimbo za WCB
Hizi sheria zako zote 20, zote zimebebwa na sheria moja tu ambayo ni namba 15! I like the version of your thinking/ philosophy1. Usikopeshe zaidi ya kile ambacho huwezi kukipoteza.
2. Yeyote anayekukopa kitu chukulia kuwa hatokulipa kabisa, ishi katika hali hiyo.
3. Juzuie kusema mambo yako binafsi unapokuwa na watu, utaweza kujizua kuwa mmbea wa kusema mambo ya wengine.
4. Kuwa bize na mambo unayoyataka na kupenda yatokee katika maisha yako,unapokuwa bize kupingana na usiyoyataka jua unapoteza energy yako katika kuyapinga,tumia energy hiyo katafuta unayoyataka.
5. Usipangie mahesabu pesa iliyo mikononi kwa mwingine hata kama ni yako.kilicho kwako ndio chako.
6. Unapodaiwa na mtu laki moja alafu mshahara wako ujao ni laki tano basi hakikisha unaelewa na unajiseti kiakili kuwa mshahara huo ni laki nne tu.
7. Kuwa mpole na mkarimu kwa watu wanaokuchukiza na kukukera ndio ustaarabu wa kweli kwako itakufanya uzidi kuheshimika na wala usitafute heshima kwa nguvu.
8. Usikubali kuchangia kuwasema wengine wasiokuwepo,kwani na wewe usipokuwepo wengine watakusema pia.
9. Lolote unalohisi kuwa unalihitaji katika maisha yako basi anza kulifanya sasa hivi japo kidogo kidogo.hakuna kitu baadae.muda ni sasa hivi.
10. Kumbuka kuwa ni bora kuajiriwa katika kazi unayoipenda kuliko kujiajiri katika biashara unayoichukia.
11. Hakuna kitu hakihitaji shukurani,hakikisha unashukuru katika kila jambo lako linalotokea ama unalofanyiwa
12. Usikosoe chochote ulicholetewa na mtu iwe zawadi ama ulimuagizia,sifia akiwepo na kosoa akiondoka tena ukiwa peke yako.
13. Kama mtu ana tabia ya kukukopa sana hakikisha usimdai pale tarehe ya malipo ikipita,hiyo itakufanya uwe na hoja ya kutokumkopesha tena akija kukukopa.
14. Weka akiba ya maneno.bora umtetee mtu muovu mbele za watu kuliko kumsema vibaya mbele za watu. Hutojutia kimya chako bali neno lako ndo hulijutia zaidi.
15. Maneno ya kejeli yanakufanya uwe vile unavyoyasema,maneno yako yanaamua uwe vipi, kuwa mtu chanya muda wote sema maneno mazuri.
16. Usimkejeli mtu mmoja ili uwafurahishe watu mia moja,watafurahi kwa sababu ya kukusitiri wewe ujione kama umewafurahisha kweli lakini nao umewahuzunisha.
17. Unapotaka kumfanyia ubaya mtu kwa sababu ya nafasi yako au cheo chako kumbuka kuwa hiyo sio mwisho wa kukutana nae.fikiria mbele.
18. Ukiwa haukuweza kuwa na demu mmoja wakati wa ubachela wako,basi ni ngumu kutulia na mke mmoja wakati wa ndoa yako.
Hakuna kutulia kwenye kuoa kama mtu hakutulia kwenye ubachela
19. Idadi ya wanaokusifia wakati upo nao ni ndogo kuliko idadi ya wanaokuponda wakati haupo,hayo ni maoni yao,kuwa bize na mambo yako.
20. Usimsaidie mtu huku unakilalamikia juu ya unachompa kwamba unakihitajia na kinakusaidia,atapokea shingo upande na hato appreciate msaada huo.
Hahha mkuu shida ni kwambba sheria namba 15 ni ya jumla saana haijawa specific hivyo ndio maana nimejaribu kugusa kila nyanja mkuuHizi sheria zako zote 20, zote zimebebwa na sheria moja tu ambayo ni namba 15! I like the version of your thinking/ philosophy
Ulivyofanya ni vizuri kabisa na ndiyo inaytiokiwa kuwa, inabidi na hizo zingine uziseme kama ulivyozisema hapa, isipokuwa mimi nilikosea kusema. Nilitakiwa kusema hivi, ukiishika hiyo ya 15, unakuwa umezishika zote 20 kwa ujumla wakeHahha mkuu shida ni kwambba sheria namba 15 ni ya jumla saana haijawa specific hivyo ndio maana nimejaribu kugusa kila nyanja mkuu