Hapana. The world is not fair. Ukiwa na uchumi mkubwa lazima ujilinde vizuri, ukizubaa vibaka wanakupora na kutokomea gizani. Hizi display ni ujmbe kwamba vibaka msisogee mtakufa!
Kwa utaratibu tulio nao wa kila mtu kujijengea kiota chake, ni vigumu sana kuweka standard za majengo na kuupangilia mji. Ni lazima mji upangwe kwa plan nzuri na ujenzi utekelezwe na serikali kupitia wakandarasi wabobevu, then wananchi tupangishwe au kuuziwa
Kwa mtu anayejitambua na kufahamu umuhimu wa mtu kichwa kama TAL hawezi kumuweka ndani/kifungoni. TAL ni miongoni mwa watu wanaipenda sana nchi yetu na watu wake. Hapendi uonevu, dhuluma, ufisadi, unyanyasaji na kutokuzingatiwa kwa HAKI, SHERIA na kanuni ambazo zinaleta AMANI kwenye nchi yetu.
Kuna projects zinaitwa "Mega structures" za China ukiziangalia, check youtube, unaweza kulia. Wachina wako mbali sana, hata marekani na ulaya wanakubali wenyewe kwamba jamaa wapo mbali. Sisi kama taifa hatujaweka sera/mfumo mkakati wa kitaifa ili tuweze kuwapata viongozi wanaoweza kutimiza ndoto...
Ukiona hivyo ujue mifumo haifanyi kazi, watu wameamua kuweka mambo wazi ili mifumo ijitathimini na kuweka mambo sawa. Kama kuna watu wachache wananufaika na rasilimali za nchi zaidi ya wengine, ni vema wakawekwa wazi ili kila mtu ajue kwa nini kama taifa hatuendelei na hatua zichukuliwe kuwadhibiti
Hawakuwa na namna ya kujibu hoja za Lissu ikaonekana njia rahisi ni kumfungulia kesi ya uhaini ambayo haina dhamana ili aendelee kupigwa dana dana mahakamani akiwa nje ya siasa hadi uchaguzi upite.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.