Recent content by leprincess

  1. leprincess

    JamiiForums Tanzania Serikali kugawa vishikwambi kwa walimu Nchini

    tunavisubiri.
  2. leprincess

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Ela ya sensa bado haijaisha.Subiri iishe mkeka utaisha wenyewe Hadi 2032.
  3. leprincess

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mishahara ya sasa ilivyo bado walimu waliishi maisha mazuri zamani kuliko sasa

    Sio wote wanaishi kijijini
  4. leprincess

    JamiiForums Tanzania Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

    Osaka, Dar -musoma.Hii kampuni iachene na masafa marefu.Gari mbovu aisee
  5. leprincess

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

    Sasa kwanini msijichange na mwenyekiti wenu mkamalizia pale iliposihia Hadi kule mission? Shida watu wa lupaso mnapenda kutafuniwa kila kitu.
  6. leprincess

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

    Acha basi,ni Yule chief Tu ndio aliuawa,lakini Maza alikufa Kwa maradhi Tu maana alikua mnene Hadi hawezi kuinuka.Wanaotoa Stori wanasema chief akikunyooshea kidole kesho hufiki.
  7. leprincess

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

    Lami kutoka masasi Hadi pale kwake.
  8. leprincess

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

    Mbona kawawekea lami,wenyewe mmeshindwa kujiendeleza Kwa kumtegemea che nkapa[emoji51]
  9. leprincess

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

    Sio mmakua wa kule lupaso?
  10. leprincess

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

    Sasa mgogoro wa wazaz wake yeye aliuingilia wa nini?kama walistahili kufanyiwa Hivo yeye kwanini ahukumu Wananchi waliompigia Kura?Shida watu wa kule pia hawataki kwao!
  11. leprincess

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

    Mbona BWM alikua halali pale lupaso,alikua anaenda kulala mtwara mjini au dar? Ni maamuzi.
  12. leprincess

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What will I Do?

    Jumatatu mkuu
  13. leprincess

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ajali yaua 5 na kujeruhi 36 Shinyanga

    Mleta taarifa fafanua vizuri tafadhali,Bus la Najmunisa lilikua linatokea wapi?Dar-bunda? Au Bunda-Dar? Dar-mwanza au Mza-Dar?
  14. leprincess

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

    We nawe unakurupuka kama unakunya kwenye ndoo ya unga! Au ni kibaraka wa hao Mayemen?balance shob* basi.Mwenzio anahitaji Msaada uko hapa na kitechno chako kujipu sht
  15. leprincess

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

    Bila kuwasahau maafisa elimu,tena awe na elimu ya kuchomelea, lahaulaah!
Back
Top Bottom