Recent content by lephi

  1. L

    Wakili Albert Msando: Issue ya Lema inahitaji Busara zaidi ya Ubishi na Ujuaji

    Wakili ebu tufafanulie dhamana huwa inatolewa VP na ni makosa gani ambayo yanamnyima mshtakiwa dhamana pia kuhusu kesi ya Lema je dhamana si haki yake ebu tueleweshe bila kutafuna maneno ili tuelewe
  2. L

    Lema: Mawakili msihangaike tena

    Mungu anakuona na nyie ndiyo watu mnaoipeleka Tanzania ktk laana kwa sababu ya uonevu usiokuwa na sababu ebu mumwogope Mungu ambaye kila siku mnamtaja hivi mnafikiri Mungu anafurahia uonevu huo mnaomfanyia Lema hakika Mungu yupo yule anayejibu kwa wakati maana Mungu awahi wala achelewi ktk hili...
  3. L

    Lowassa afafanua kutoonekana kwake misibani

    Usiwe mtu wa majungu mtu mzima wewe hivi kama kweli alikuwa anahusika na Richmond baba J angemuacha kweli si ndio mahali ambapo angepatia king. Fikiri kabla ya kuandika.
  4. L

    Rais Magufuli amtembelea Mke wake na Wagonjwa wengine Waliolazwa Muhimbili

    Acha masihara bhana unaongea uongo eti kalazwa Muhimbili na wagonjwa wengine maweee!! Mtu yupo private au aujaona picha vizuri yupo VIP alazwe kule kwenye kitanda kimoja mtu mbili wapi si tunadanganywa tu na tulivyowepesi wa kudanganyika hapo sasa
  5. L

    Mbunge Lema apandishwa kizimbani, afunguliwa kesi 2 za jinai. Anyimwa dhamana

    Ndg yangu uwe unafikili kabla ya kusema kwa uonevu huu unaoendelea Tz tuombe Rehema za Mungu atunusuru pia tumuombe sana Mungu awape viongozi wetu mioyo ya nyama aondowe mioyo ya jiwe.Ewe Mungu tutetee Mh Lema hiyo silaha uliyoionyesha yaani biblia ni silaha kubwa kupita zote usiogope mtetezi...
  6. L

    Hapa ndipo Utahakikisha Mungu yupo

    Niko ambaye Niko mwenye enzi yote Mungu wa milele Alfa na Omega wakuabudiwa ni yeye pekee
  7. L

    Mkurugenzi wa jiji la Arusha adaiwa kufanya ubadhirifu wa milioni 500

    Mheshimiwa Mwanri najua wewe ni miongoni mwa wapenda haki ktk nchi hii hakikisha haki inafuatwa
  8. L

    Nape aijibu Marekani, ataka ianze kujinyooshea kidole kabla haijaiangalia Tanzania

    Ktk hili mheshimiwa waziri umechemka
  9. L

    Nahitaji mpambaji mzuri wa harusi

    Habari nzuri ndg wapambaji wapo na mm ni mmoja wapo
  10. L

    Gharama za safari ya Lowassa Bukoba ni kubwa kuliko mchango aliotoa (mifuko 400 ya saruji=6M)

    Kwa kuwapa kilo 3 za Michele ndiyo wamewasaidia? Au Muhongo kuchangia 40000 ndiyo wamewasaidia.Aaaah hii serikali mmmmh!!
  11. L

    Mbowe nenda tu ughaibuni likizo na kukagua biashara zako, siasa umekwishazivuruga!

    Acha kudanganya bhana! Wivu unao na roho inakuuma sana ndiyo maana umeandika ujinga ujinga hivi ni Nani aliyewaroga?
  12. L

    Hotuba ya waziri kivuli wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mh Peter Msigwa (Mb)

    Inaonyesha kwa jinsi gani Lizabon ulivyokuwa na ulivyokosa uelewa ktk kujua mambo ule msemo unakuhusu sana tu (Mtanzania ukitaka kumficha jambo liweke ktk maandishi) ushabiki wa bure kumbe ujielewi
  13. L

    Tabata - Kinyerezi Mwisho jijini Dar ni sehemu hatari sana kwa usalama

    Kwa kinyerezi mwisho soko limepangwa kuwa eneo linaloitwa magengeni ambako tayari limeshaanza kujengwa ila bado alijaanza kufanya Kazi. Kuhusu stand ipo karibu na kanisa LA Roman ambayo kuanzia Jana imeshaanza kufanyiwa ukarabati ambapo muda si mrefu ihope itaanza. Na hii yote imetokana na...
  14. L

    Wakati chanjo ikikosekana,ugonjwa wa surua waibuka jijini Dar-es-salaam

    Naona ujanielewa ndg uwe unasoma post kwa utulivu usiwe na haraka Mteule kitu nilichosema ni kwamba Mungu amsaidie Mkuu wa nchi aone kipaumbele cha kwanza kwa binadamu ni afya na sio viwanda wala ndege. Nadhani umeelewa, Naumia sana kuona wtt wanateseka au kufa kwa kitu ambacho kinawezekana
Back
Top Bottom