Recent content by leparmuat

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mh Ismail Jussa anatukumbusha uanachama wa Zanzibar Umoja wa Mataifa

    Hata Catalonia ilikuwa hivyo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rushwa inayoendelea ktk eneo la ukaguzi wa magari (Transit Goods)Pale Vigwaza eneo la mzani ni ya kutisha!

    Hio ni sehemu.ndogo ya matatizo tulionayo,sasa hivi kuna jambo limezuka Mkoa Wa Iringa wanadai Efd receipts kwenye Magari yanayobeba mbao so ya Mahindi wala mizigo mingine.huu ni uchochoro mwingie imefikia mahali checkpoint za Mali Asili wakikukagua wanakuzuia kwa niaba ya tra
  3. L

    JamiiForums Tanzania umoja wa wenye vibamia tuchague Rais wetu mwaka huu , ili atetee maslahi yetu.

    Tatizo ni tofauti kati ya ukubwa na udogo,ili kuwe na kibamia lazima kuna oversize iliyosabaishwa na kutumika vibaya kwa kifaa, Dada zetu wengi hawana mazoezi muscles zimetepeta
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kweli Lowassa kwenda Ikulu bila Mwenyekiti wake kujua?

    Kubwa kabisha lililonipa raaha ni pale kubwa LA mafisango kutakaswa linapogeika takatifu baada ya kurejea
  5. L

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ampa za uso Lowassa baada ya kutoka Ikulu na kumsifia Rais Magufuli

    Yalitoka Majizi na mafisadi kurudi yanageuka malaika matakatifu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni tabia ya kusema tunatoa harufu sehemu za siri, baadhi yenu mna shahawa zenye harufu kali

    Mwanamke yeyote anaefuga mikucha naamini lazima atanuka tu.niambia usafi ataufanyaje kwani ili awe msafi mnafaham lazina ajisafishe vipi.mikucha ataipelekaje huko wakati atajiumiza ukimuona asiefuga mikucha jitume
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maoni mbalimbali kutoka kwa viongozi/mitandaoni baada ya Lazaro Nyalandu kujivua ubunge na kuomba kuhamia CHADEMA

    Ni unafiki Wa kutosha pale MTU anapoondoka kuanza kusema abc ni wakati sasa kuwachambua wote hata walioko kwenye nafasi zao.hio inamaanisha kuwa usipotoka uliopo hata kama ni mchafu hutasemwa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wanaofungisha ndoa za mkeka wanapata wapi mamlaka?

    Ni jambo la kila Mmoja kufuata taratibu zake.Wa mkeka inawezekana akaoa wakaondokana na dhambi ya uzinifu.aliezini miaka ishirini akabariki uzinifu watoto wake watakuwa mashahidi Wa uzinifu huo Siku ya hukumu
  9. L

    JamiiForums Tanzania Gesi kwa matumizi ya nyumbani yapanda bei kuanzia leo

    Tz ya vi wonder
Back
Top Bottom