Recent content by lepaima

  1. L

    Mwenye kujua bei ya mahindi imefika ngapi

    mkuu mambo vipi? nimeona umepost mahind iringa gunia 35,000. Ni maeneo gani? kama vip naomba tuwasiliane 0767337400.
  2. L

    Msaada :Soko la soya hapa nchini.

    mambo vip? mzigobadoupo tufanye biashara? kama upo tuwasiliane
  3. L

    Msaada kuhusu BITCOIN wallet

    hili ni zaidi ya somo! natamani sana kuanza kununua mana zinaonekana zana faida kubwa
  4. L

    Kheri James achaguliwa Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa, Tabia Mwita awa Makamu

    huyu jamaa ni kama JPM ataifikisha mbali sana UVCCM! wadau tumuunge mkono kamanda wetu
  5. L

    Msaada wa dawa au namna ya kuondoa mvi

    Wakuu habarini za mida. Naombeni msaada wenu. Ninasumbuliwa na mvi kichwani mpaka kwa kidevu cjajua tatizo ni nini! Kama kuna dawa au vyakula vya kutumia nisaidien mana huu ni uzee wa kulazimishiwa. Watu wananiambia ni mawazo na kutopata lishe sahii ila kwangu lishe iko poowa. Naombeni sana...
  6. L

    Msaada wa dawa au namna ya kuondoa mvi

    Habari wandugu! Mimi ni kijana wa miaka 27 ila mpaka sasa kichwani kumekuwa na mvi nyingi sana na kwenye kidevu. Bado sijajua tatizo ni nini? Naombeni mnisaidie dawa kama ipo mana zinazidi kuongezeka. Kama dawa ipo au vyakula vipo nitashukuru sana. Thanks wakuu
  7. L

    Mwafrika anatakiwa kubadilika

    Nilichojifunza kwa Mwafrika.... Mwafika sio mtu mkweli kabisa na hawezi kusema ukweli. Ni mtu anayependa vitu vya short cut sana. Mfano unaweza kumwazima mtu pesa anakuambia anakutumia lakini mwisho wa siku unampigia cm hapokei na mwishoni anazima simu. Ni bora kusema ukweli sina au siwezi...
  8. L

    Zitto amtaka CAG kuchunguza zabuni ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato

    Mpaka ipite miaka 25 ya uongozi wake ndo atapata muda wa kuyafanyia kazi
  9. L

    Waziri mkuu Majaliwa atinga bandarini na kukuta magari 44 yakitaka kutolewa kwa kutumia jina lake

    Hii mizigo huenda ikawa ni yenu mana kila mmoja anasema lake. Hatuwaelewi mnatuweka njia panda.... Juzi mkuu leooo wewe kesho ataenda wa bunge...
  10. L

    Zitto amtaka CAG kuchunguza zabuni ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato

    Anapoint za msingi sana! Ila wakati wa kuyafanyia kazi muda bado hujafika
  11. L

    Maisha ya ubachela hadi raha!

    Ukiwa bachela ni zaidi ya familia..... Matumizi hayana mpangilio.. Pesa nyingi watakula mademu
  12. L

    RC Morogoro, Dr. Steven Kebwe apata ajali usiku wa kuamkia leo

    Yeye ni mwenyekit wa usalama katika mkoa wake lazima ahakikishe kila kitu kiko salama kabla ya kulalaa
Back
Top Bottom