Yaani serikali ishindwe kujiwekea akiba yah chakula inavizia watu walime halafu Inawapangi namna ya kuuza ? Hawa watu hawana aibu kabisa kwani wanatoa ruzuku kwa wakulima ?shida ni namna ya kuyafikisha huko unakosema itapanda kwani kwa sasa kuanzia mipaka ya wilayan mpk mikoan masharti magumu sana ya kutoa mahindi
mkuu mambo vipi? nimeona umepost mahind iringa gunia 35,000. Ni maeneo gani? kama vip naomba tuwasiliane 0767337400.Njoo iringa nikupe kwa 35 fasta
Mkuu hapa tandale dar gunia sh. 60,000/=..Mkuu niko Manyara. Ukifika 70000 kwa gunia nitatoa zote but chini ya hapo itakula kwangu mazima. Maana nimeshadhulumiwa kama gunia 45. Gunia ya 100 kg
Gunia la kilo ngapi mkuu Inamonga?Mkuu hapa tandale dar gunia sh. 60,000/=..
Kilo mia mkuuGunia la kilo ngapi mkuu Inamonga?
Huku Arusha,Arumeru kipimo cha sadoline km kilo 4 ni shs elfu mbili.kwa hiyo gunia ni elfu 50.Naona bei ya mahindi imeshuka!Kilo mia mkuu
Gunia la kilo ngapi mkuu..?Huku kwetu sumbawanga ni 30000 gunia
Wa tatu mbali hivyo ss mbeya sasa hivi mahindi mabichi ni throughout the year hadi sasa yapo kibao mabichi yamekomaa na kila mwezi yanakomaa.Mkuu mwaka huu mahindi hayatapanda sana. KATAVI na KIGOMA waliowahi kupanda mwezi wa 3 nanaanza kula vizuri.