Recent content by leothebest1

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    kwa maelezo ya hapo juu kwamba nguo za ndani zimepotea mazingira ya kutatanisha mara kaondokaa na picha zako hatujui alikuw na maana gani kuchukua picha zako hapo kwa mtazamo wangu kuna kitu jaribu waomba radhi kama uliwakosea nahisi itakuwa solution maana mambo mengne yanaweza yakawa...
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Videos & Audio production special thread (Softwares)

    msaada mm kuna sauti nimerecord as jingle sasa nataka ni edit sauti kwa kutumia cubase
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ni utapeli mpya kutokana na vifurushi vya simu kupanda

    saiz kuna huduma ya jihudumie si fasta nairudisha hela yangu kama anazingua mda huohuo
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    iphone zinachoniuzi hicho tu kwenye upande wa apps ni ngumu kupata na ukitaka nyimbo lzm ununue itune daaah bora adroid full unlimitation
  5. L

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya kende(korodani) ya upande wa kulia

    hiyo ni henia na mara nyingi huwa upande wa korodani ya kulia huwa inauma ukitembea na hata ukiishika kwa mkono na huvimba na huwa kubwa zaidi kuliko nyenzie nenda hospitali utapewa dawa na kama ikijirudia wsnakufanyia upasuaji
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dish la KU_band na receiver ya FTA ukiset vizuri unaweza kupata channel ngapi wakuu?

    Madish ya ft 6 ya zamani bado ni dili lkn wengi hawajui mfano mm nili nilinunua dekoda pekee ya startime nikafungia dish la zamani ya ft 6 kwa kuweka ku pale kati na kugeuzia magharibi kama yanavyoaangalia madish madogo ya azam inapiga kazi hata azam kwa dish kubwa na dstv na zuku na continental...
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dish la KU_band na receiver ya FTA ukiset vizuri unaweza kupata channel ngapi wakuu?

    Thaicom 8 inatumia dish la ft 8 nn maana ft 6 kila nikijaribu inagoma
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

    Anachokufanyia mkwewe siyo kabisa mpk mukafunga ndoa it means atatimiza haja zako zote na siyo adhabu anazo kupa, kwanza wewe mvumilivu maan wngine wake zao wakizingua wanatafuta pembeni ila cha kukushauri kaa chini na mkeo muulize nini chanzo cha kukufanyia hivyo maana lazima kuna kitu si hivi...
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada. Kwa mwenye ujuzi wa kufunga ving'amuzi

    Hakuna king'amuzi kinachonishinda na dstv ni simple sana hata startime, azam zuku, ting, continental
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea wanajua kupenda mwanamke, unaweza kuhisi upo sayari ya Pluto

    Kwa sababu huna jeuri ndiyo mana anakupenda usiseme umri ndy kigezo hapana, kuwa jeuri uone
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale ma agemate tuliozaliwa kuanzia 1980s na kuendelea ni wakati sasa wa kutafuta makazi binafsi

    Daaaah nimeipenda hiyo ya kusema yesu mwenyewe yupo kwa baba yake
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ajira ya kudumu online, Jiajiri sasa ingiza pesa

    Mm hapa nielekeze jinsi ya kutumia
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Ni hivi mara nyingi simu za huawei mfano y530 ikiwa inawaka inaandika huawei af haiendelei zaidi ya pale hapo inamaanisha lazima iwe flashed so ukienda kwa mafundi iwaambie nataka flash huawei wanasema hatuflash
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Huawei zinaflashiwa hv maana mafundi wengi.wanasema hpana
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uume mkubwa umekuwa kero

    U
Back
Top Bottom