Huu ni utapeli mpya kutokana na vifurushi vya simu kupanda

ukitaka upige hela fasta deal na wajinga,ndio mtaji wa wanasiasa,makanisa ya dili,na wafanyabiashara,suckas are born everyday.
So ukiona umeingia kwenye anga zao ujue una upungufu wa maarifa. Hata Bible inaweka wazi kuwa ... "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Yanayofundishwa ni yale yasiyokuwa na impact yoyote kwenye maisha yako. Unafundishwa historia iliyopita badala ya kukufundisha njia za kuamsha hisia zako kufanya kile kilichokuleta ulimwenguni. Fahamu kuwa kila mtu ana jambo la utofauti na mwingine; na uhalisia wako hauwezi kuonekana pasipo kutambua hisia zako zinakutaka ufanye nini.
 
Tunaonekana tuliotapeliwa wajinga sana ee!!

mimi mwezi huu mwanzoni kuna mtu aliweka tangazo mahali nikajua ni mwizi tu ila nikaamua ku bet tu,sababu niliona hiyo elf 10 siyo shida sana, alinambia nitaungwa baada ya saa 12 ila hadi saa 24 kimya nikimpigia hapokei nikajua nishapigwa ila baadae kidogo nikaona sms kuwa nimeungwa na kifurushi cha 10gb kwa mwezi ndo natumia hadi sasa,ila jamaa alinambia nitakuwa nazipata hizo 10gb kila mwezi kwa miezi mitatu mfululizo sasa sijui kama ni kweli au hizi nilizopata ndo mwisho
 
Nitumie namba yake
 
Kuna tapeli mwingine wa elfu saba saba tu, yaani yeye anakuambia anatoa lock mara sijui iphone, baada ya hapo, mara code haipo, mara ohh masaa ya usa, halafu jamaa ukimcheki ana sura mbaya kama mavi ya mtu aliyekula ugali wa mtama. Kwa ufupi dili za JF nyingi ni mbovu na kuna mtandao wa matapeli
Kutapeliwa na mtu usiyemjua ni uzembe. Nampongeza sana jamaa kwa kazi nzuri aliyokufanyia
 
Back
Top Bottom