Kwa mjibu wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, ajira za walimu huwa zinatolewa kati ya Feb mosi hadi 30 machi. kwa walimu tuliomaliza mwaka jana tuzidi kuvuta subira kamwe serikali haiwezi kutusahau. Jaribuni kupuuza baadhi ya sms za kitaa kuhusu siku ya kutangazwa kwa ajira zetu...
UPOTEVU WA AMANI>>
Ni miezi michache tu imepita tangu kutokea kwa tukio la kuuwawa kwa mwendesha pikipiki (bodaboda) na askari mmoja huko wilayani Ngara mkoani Kagera.
Tukio ambalo liliumiza vichwa vya watanzania kwa kujiuliza tatizo hasa ni nini. Tukio hili linafanana na hili la jana...
Kwa msaada kama huo bora ukafa masikini, kitendo anachofanyiwa huyu bwana mdogo ni fedheha tupu.Vp kwan mpaka sasa anakufanyia ujinga kama huo kama vp mpeleke panapohusika but naona kama umeshamzoea. komaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.