Leopold Nzohumpa
Member
- Mar 14, 2013
- 8
- 0
UPOTEVU WA AMANI>>
Ni miezi michache tu imepita tangu kutokea kwa tukio la kuuwawa kwa mwendesha pikipiki (bodaboda) na askari mmoja huko wilayani Ngara mkoani Kagera.
Tukio ambalo liliumiza vichwa vya watanzania kwa kujiuliza tatizo hasa ni nini. Tukio hili linafanana na hili la jana lililotokea mkoani Ruvuma, ambapo imeelezwa kuwa wananchi wamemuua askari polisi aliyemfyatulia risasi mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda.
Watanzania hapa kweli kuna amani?