Recent content by leonsteve

  1. L

    Bei ya VVTI engine

    Ni engine inayotumika kwenye Rav4 kili time lakini zile ambazo ni 2wd na sio 4wd.
  2. L

    Star tv mbona kwenye madishi hampatikani?

    Wamepunguza signal ila futi nane wanaona kama kawaida na signal ipo 68%
  3. L

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    Ila Yesu alisema mtawajua kwa matunda na matendo yao hakusema hakutakuwepo tena na manabii wa ukweli soma Mathayo Mtakatifu 7:15....etc ila moja wapo ya kifungu kwenye biblia cha kumtambua nabii wa kweli ni kutoka Kumbukumbu la torati 18 kuanzia mstari wa 18 hadi 22..vipo vifungu vingi ila...
  4. L

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    Zipo nyingi tu, ingia youtube search T.B Joshua Prophesies utapata aina tofauti tofauti hakuna alichowahi tabiri kisitokee unless mumjoin kusali kwa mungu kuepusha! lakini kwa sababu vichwa vya wengi ni vigumu matokeo huwa kama yalivyo....
  5. L

    FORBES: The Young African Millionaire Lighting Up Tanzania

    A very inspiring man...keep it up brother
  6. L

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Alafu hawajui biblia inasema kafiri ni mtu asiemwamini yesu kristo wasome yuda 1:4...
  7. L

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Halafu hawajui kuwa biblia inamtaja kafiri ni mtu asiemwani yesu kristo....wasome yuda 1:4....
  8. L

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Na roho ya mpinga kristo ipo at work pia bro...
  9. L

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    hapo umenena! bibilia inasema mpende jirani yako kama nafsi yako! asa jirani si lazima awe mtu ambae mna imani moja bali hata yule wa imani tofauti...
  10. L

    Jamani msiwaseme vibaya watumishi wa Mungu

    Hii sio siasa watu waongee kwa ushabiki kaka, We ka unaenda nenda tena ikiwezekana lala huko kabisa.
  11. L

    Jamani msiwaseme vibaya watumishi wa Mungu

    Hivi Kweli mtu wa mungu kweli kweli ambae amepewa kipawa na mungu mwenyewe kupitia yesu kristo anaweza akasimama kujitamba na kujiita MSTAHIKI MHESHIMIWA NABII WA KARNE YA 21......!!!!!!!!!! yaani amejipandisha cheo mwenyewe badala ya kumpa sifa Yesu mwenyewe anajipandisha yeye cheo, Hii hata...
  12. L

    Baada ya engagement ring mwenzenu nimemegewa

    :smile-big: Kaka hapo umemaliza maana nilikuwa natafuta maneno yanayomfaa huyu mtu, but u have done it all, kenge kweli huyu jamaa
Back
Top Bottom