Star tv mbona kwenye madishi hampatikani?

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
919
Reaction score
599
Satar tv mbona hampatikani kwenye madishi ya fiti 6? Hii ni wiki ya 3 sasa hampatikani tena bila ya kutoa taarifa. KULIKONI Star tv? Tunaomba mtutaarifu wananchi.
 
star tv wanaringa wakati hawana vipindi vya maana kazi yao kurudia mechi za mwaka juzi. Mbona wenzao itv hawana hizo habari za kupunguza signal
 
Tena hao hayo maving'amuzi yao ya Continental kimeo kabisa bhana mi nimenunua just last week picha wala haitulii kila sekunde inawambia "no signal" mara picha inakuja najuta sana kupoteza pesa yangu!!.
 
star tv wanaringa wakati hawana vipindi vya maana kazi yao kurudia mechi za mwaka juzi. Mbona wenzao itv hawana hizo habari za kupunguza signal

Nilifikiri ni mimi peke yangu. hata tbc kwangu imekuwa historia.
 
Satar tv mbona hampatikani kwenye madishi ya fiti 6? Hii ni wiki ya 3 sasa hampatikani tena bila ya kutoa taarifa. KULIKONI Star tv? Tunaomba mtutaarifu wananchi.

Mimi sijaiona Star TV kwenye dish kwa karibu mwezi sasa. Nafikiri wanataka tununue king'amuzi chao feki! Haya ni matokeo ya kuruhusu wenye TV stations kuuza ving'amuzi pia. TCRA iingilie kati. TBC nayo inafuata mkumbo wa Star TV. Haionekani! Mungu aibariki ITV kwani imekuwa mkombozi wetu wanyonge.
 
Visumbusu vyao vyakamata huko duniani, sie wa wilayani mkombozi wetu ni hayo madish ambayo kwa zaidi ya mwezi hawapatikani. Tumebaku na Mengi na Chanell ten.
 
Na mpaka sasa hawataki kutoa taarifa kwa wananchi kuhusu kuhusu kutokupatikana kwao kwenye MADISHI
 
mbona jibu rahisi hapo...wanataka ununue king'amuzi chao utaki kuwaunga mkono?
 
Back
Top Bottom