Recent content by Leon jeaph

  1. Leon jeaph

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Umebugii na umeharibu kazi.
  2. Leon jeaph

    Talaka: Tulioachwa na kuachika vipi kuna mabadiliko?

    Inauma sanaa niliyempenda baada ya kugundua madudu yake na kumgombeza kanuna na juamua kuniacha now ni week ya tatu yaan nimedata nakuwa sipo vizur mpaka nimeamua kuja arusha nipunguze mawazo lee week imeisha nipo hotel siielewi hata nafanya nin apa msaada plz ila kumuamini na kumpenda dem ni ujinga
  3. Leon jeaph

    Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

    Ilibidi niuze nimpe % zake na mimi nikaenze upya
  4. Leon jeaph

    Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

    Ndug poleh sana ila hayo yalishanikuta hayo rafiki yangu ila kama hutojali chukua namba za hao jamaa kisha watafute wapeleleze uwafahamu kisha tafuta rafiki yako mmoja nenda muzungumze nao kila mmoja kwa wakati wake kuwa mpole na uliza kwa ukarimu ukihakikisha mtoto sio wako tafathali huyo mama...
  5. Leon jeaph

    Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

    Jitahidi uindoke hapo ukaishi kwenu au kwako..maana huyo ni mke wake na ni haki yake kufanya hayo asipofanya hivyo mkewe atasaliti jaribu kuweka ratiba ambayo hutokuwa karibu nao kama huwezi kuondoka
  6. Leon jeaph

    Nahitaji ushauri wenu nateseka kimawazo...

    Aise ndug nashukuru sanaa...nimeelewa sana.
  7. Leon jeaph

    Nahitaji ushauri wenu nateseka kimawazo...

    Unaweza ukacoment upendacho ila kila binadam anatabia zake mimi sio jinga la mtaani huebda ata apo ulipo bila mimi kufanya majukumu yangu sahihi wew usingekoment hayo...heshimu mawazo ya mtu usitus...
  8. Leon jeaph

    Nahitaji ushauri wenu nateseka kimawazo...

    Nishaanza na nipo na whitehourse....
  9. Leon jeaph

    Nahitaji ushauri wenu nateseka kimawazo...

    Wakuu habarini za saiz naandika uzi huu nikihitaji mawazo yenu kwani nipo njia panda na nashidwa kujua nifanye nin labda mawazo yenu yaweza nijenga kifikra. Bila kupoteza muda ipo hivi, Nimekuwa na mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili na nusu na huyu binti ila amenifanyia haya miezi minne...
  10. Leon jeaph

    Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

    Story ni ndefu but in short...yupo jamaa flan alikuwa anamsumbua dem wangu kwa muda mrefu na nilimkanya sana ila siku moja nikabaini ametembea na dem wang na kwa bahati mbaya au nzuri jamaa alikuwa kaoa na mke wake aligundua.. Nikachukua muda kidogo siku moja nikakuta mke wa jamaa anachat na dem...
Back
Top Bottom