Naomba kujua kama kuna moja wa wanachama walio wekeza NICOL kwa kununua share kama walikutana na majibu niliokutana nayo katika office zao
1. Kuhusunia na malipo kuwa wanalipa wanachama kwa miaka miwili ya mwanzo baada ya ununuzi wa hisa lakini inayo endelea hawalipi nimekutana nayo katika...
Naomba kujua kama kuna moja wa wanachama walio wekeza NICOL kwa kununua share kama walikutana na majibu niliokutana nayo katika office zao
1.kuhusunia na malipo kuwa wanalipa wanachama kwa miaka miwili ya mwanzo baada ya ununuzi wa hisa lakini inayo endelea hawalipi nimekutana nayo katika...
Ukisha vi upload huna haja tena ya kurudia cha msingi usisahau password na email yako na kazi ikitoka ya sifa yako system itakutumia sms
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Niulize tena kwa mfano nilituma application juzi wakanijibu ajiraportal naweza kujibiwa na nisiwe select kwny interview kama sija certified vyeti
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JF
Naomba kupewa elimu kuhusu ajira portal ni percent ngapi system inakuruhusu kuappy ...?
Lakini jambo lingine ukiscan vyeti original na ku upload ni sawa ...? sababu nimekutana na kasumba moja hapa na kuambiwa mpk vyeti viwe certified na mwanasheria hii imekaaje wakati nimescan...
Habari wana Jamii Forum.
Mimi ni Kijana mwenye elimu ya Diploma ya Customs and Tax Management katika chuo cha (ITA) Institute of Tax Administration lakin nina Certificate Clearing and freight forward kutoka chuo cha Bandari. Dhumuni kuu ni kuomba msaada wa kupatiwa ajira na pia ninaozoefu wa...
Mkuu nina maswali tatu
1) kuomba volunteering/ internship by door to door /email cz email huwa hawajibu sijui wapi nausea
2)hiyo CV inatakiwa imeshiba as fresher
3)nimesomea mambo ya tax management hiyo nafasi ninayo ktk hz NGO's
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.