Naomba kusaidiwa ufafanuzi kuhusu swala NICOL na ulipaji wake kwa wanahisa

Leon awinia

Member
Oct 21, 2015
55
125
Naomba kujua kama kuna moja wa wanachama walio wekeza NICOL kwa kununua share kama walikutana na majibu niliokutana nayo katika office zao

1.kuhusunia na malipo kuwa wanalipa wanachama kwa miaka miwili ya mwanzo baada ya ununuzi wa hisa lakini inayo endelea hawalipi nimekutana nayo katika nataka kujua ni makubaliano ya wanachama ama ni upigaji kwangu wananiletea hebu naombeni ufanunuzi wanachama wenzagu kama mpo humu na malipo mlipata kweli.

Naomba ufanunuzi juu hii wana JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngigana

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,677
2,000
NICOL ni wahuni to say the least. nina share sijawahi lipwa. walisema tupeleke documents for verification nilifanya hivyo sijawasikia tena. ukipiga simu hawapokei. ukiandika email hawajibu. Rafiki yangu mmoja walimpa gawio la sh 10,000/- really? ni afadhali CRDB walikuwa wanalipa vizuri japo nao mwaka jana wametuzingua kwa kulipa hisa moja sh 5. wonders will never end!
 
ghwaki

Member
Oct 6, 2020
33
95

Mkuu una hisa CRDB ? Aisee mm nilinunua mda sana tangu wanaanza kuuza cjawahi pata gawio naomba kuuliza HV being ya his a ilishaongezeka kweli toka 150 npo nje ya nchi
 
Ngigana

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,677
2,000
Mkuu una hisa CRDB ? Aisee mm nilinunua mda sana tangu wanaanza kuuza cjawahi pata gawio naomba kuuliza HV being ya his a ilishaongezeka kweli toka 150 npo nje ya nchi
CRDB wanalipa kila mwaka. kama uliandika akaunti namba yako lazima wakuingizie kwenye akaunti, la sivyo nenda na certificate yako ya hisa kwenye tawi la CRDB ukaulize kulikoni! Ila isije kuwa wanakuwekea wewe unazipiga juu kwa juu bila kujua kama hizi ni gawio la hisa!! :cool:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom