Naomba kuuliza kuhusu suala la National Investment Company Limited (NICOL) kwa wanahisa waliopata huduma ya gawio ufanunuzi

Leon awinia

Member
Oct 21, 2015
55
125
Naomba kujua kama kuna moja wa wanachama walio wekeza NICOL kwa kununua share kama walikutana na majibu niliokutana nayo katika office zao

1. Kuhusunia na malipo kuwa wanalipa wanachama kwa miaka miwili ya mwanzo baada ya ununuzi wa hisa lakini inayo endelea hawalipi nimekutana nayo katika nataka kujua ni makubaliano ya wanachama ama ni upigaji kwangu wananiletea hebu naombeni ufanunuzi wanachama wenzagu kama mpo humu na malipo mlipata kweli.

Naomba ufanunuzi juu hii wana JF
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
52,773
2,000
Wajanja wasomi PhD mliwaamini washawapiga
Tulieni....kuweni wapole tu

Ova
 

KTN

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
370
1,000
Naomba kujua ofisi zao zipo wap kwa hapa dar es salaam.
Pili, je shares zetu bado zipo palepale au ndio wanachama hewa.
Tatu, thamani ya share moja kwa sasa ni tshs ngapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom