Recent content by leo.leo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nina miaka mitano sijala UGALI

    ugali labda itokee nimetembelea ndugu wakapika nitakula ,bahati mbaya sitembelei mtu mwaka unakatika mmoja au miwili .Sijawahi kuupenda na sili wala siukumbuki
  2. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya

    sitegemei aende siku yoyote,ila kama akienda atakukachokutana nacho sijui
  3. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe iokoe CHADEMA kwa kuchukua maamuzi mazito ya kumuunga mkono Lissu, usisubiri kesho!

    Wakapambane ktk sanduku la kura
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Tulilipwa Bilioni mbili na milioni mia moja hamsini na tano baada ya kushinda kesi

    album yake ya kwanza kabisa MWANAFALSAFANI nailiipenda sana
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tigo ku-renew line imekuwa ni kitu kisichowezekana tena?

    mimi wananiambia kuna namba zinagoma kurenew kwa sababu za kitechncal ila wananiambia wafanyia kazi ,tatizo haijulikani ni lini na imechukua muda sana
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tigo ku-renew line imekuwa ni kitu kisichowezekana tena?

    Tigo hivi mpaka mfokewe ndio muelewe kwamba nimekwazika,kwanini tatizo hili halifiki mwisho, hivi mnafahamu madhara ninayopata mteja wenu kwa kutopatikana hewani kwa mwezi mzima kwa namba hii ambayo nimekuwa nikiitumia kibiashara?
  7. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Louis Shika Kidola afariki dunia

    Jana jioni nimeona taarifa kama hii kuwa amefia Mwanza
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe girlfriend wangu kuwa hajui kupika pasipo kumuudhi?

    Asilimia kubwa ya wanawake hawajui kupika, japo wenyewe hawajui kama hawajui.Njia sahihi ni kupika naye mara kadhaa hadi aelewe
  9. L

    JamiiForums Tanzania Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

    anafanya uchochezi😁
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tigo ku-renew line imekuwa ni kitu kisichowezekana tena?

    Nakumbuka haikuwa na hela, tatizo lake wanasema ni technical linahusiana na system yao ,kifupi kwenye karatsi yangu imeandikwa "HLR".Sasa ninachokosa matumaini kama karibu wiki nne hakuna matokeo chanya nashindwa kujua hatma yake
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tigo ku-renew line imekuwa ni kitu kisichowezekana tena?

    shukrani, nitamtafuta jumatatu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tigo ku-renew line imekuwa ni kitu kisichowezekana tena?

    nimeenda tigo shops mbili JMall na MlimaniCity, na wanasema hata nikienda makao makuu hatua nitazofanya ni kama hizi nilizofanya tigo shops,ila jumatatu itanibidi nijaribu kufika makao makuu labda nitapata msaada zaidi
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tigo ku-renew line imekuwa ni kitu kisichowezekana tena?

    Kwa masikitiko makubwa naandika baada ya tigo kukwama kunirudishia line yangu hewani iliyopotea karibu mwezi sasa na line hiyo niliisajili kwa kutumia namba ya NIDA . Line nilipoteza tarehe 26 july 2020,na kwa sababu ya changamoto ya mtandao wa police loss report nikaja kupata loss report...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Online loss report form ina shida gani?

    mimi nilipata baada ya siku kumi na kulipia mara tatu,ilikuwa kila nikilipa naenda polisi wanasema haineshi kama nimelipa wakati risiti nakuwa nayo
  15. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!

    kuhuse Hilary Clinton alishinda kura za wananchi kwa idadi zaidi ya kura mil 3
Back
Top Bottom