Hizo ni figisu za Afisa utumishi nikushauri waambie wakubadilishe kwenye mfuko wako wa LAPF. LAPF hawana longo longo, mifuko mingine magumashi tu. Hasa hao GEPF waongo sana mm niliajiriwa Wizara ya Maliasili wakatudanganya eti ukijaza fomu tu unapewa mkopo kumbe ni waongo. Jamaa zangu walijiunga...
Mfuko Mzuri ni LAPF hawa PSPF wasanii sana hatimaye watu wameanza kuujua ukweli wakati naajiriwa kwenye ualimu niliwahi kuwachana live kuwa waongo sana sasa hivi wanawadanganya watu kuwa wanatoa viwanja,sasa kama mkopo wa kujikimu ni Magumashi pamoja na mbwembwe zao zote walizokuwa nazo wakati...
Una ushahidi kuwa mtoa Post kapewa pesa acha ujinga ww na mtakoma mwaka huu endeleeni na fitna zenu, watu wameshaujua ukweli kuhusu kila aina ya matope mnayompaka Lowassa ngoja aje awanyoshe mmezidi kulala na kutokufanya kazi
Acha uzezeta wewe mwaka huu mtachemka Lowassa anatosha ngoja aje awanyoshe mmezidi uvivu wa kutokufanya kazi una ushahidi kuwa Edward amewahi kutoa misamaha ya kodi? Acha kubwabwaja tu nenda kale malimao
Mtoa Post acha ufala unaleta uzushi usio na sababu mbona alivyokuwa jana Moshi haukusema huo upuuzi wako mnajitahidi kutunga kila aina ya uongo ili mradi kuzuia mafuriko kwa mikono mtachemka Lowassa anapendwa na watanzania ndio maana kila sehemu ni mafuriko kajipange tena hoja yako haina...
Wambieni CCM wawapime afya kumbe mnajua ikulu si hodi ya wagonjwa mmeishiwa hoja mnakalia oooh mgonjwa oooh anaumwa kazi ikulu anaenda kupigana na watu au?
Jambazi kaiba nini sasa kwa nini msimfungulie mashtaka mahakamani, brother watu wameshaujua ukweli endeleeni kupoteza muda wenu kumchafua Edward lakini Mungu yu pamoja nae atashinda asubuhi
Naona mmekosa hoja mmehamia kuwa hawezi kuzungukia mikoa yote hivi mnadhani ikulu ni ulingo wa bondia mpaka uwe baunsa ngojeni mtaona na atapita maana hata CCM wameshaona kuwa Lowassa ni kipenzi cha wengi historia na utendaji wake wa kazi vinadhihirisha kuwa Edward kawashika pabaya wagombea wenzake
Katika kutafuta wadhamini walisema wagombea wazunguke mikoa 15 hawakusema kuwa wakitimia basi uache kuzungukia wengine nyie, acheni chuki zenu za kijinga mwaka huu Edward kawashika pabaya subirini kipigo cha mbwa mwizi NEC
Marafiki si tatizo watu wameshaujua ukweli mmeendelea kumpakazia kuhusu richmond baada ya watanzania wengi kujua ukweli sasa hivi mmeanza kuaema kuhusu watu wanaomfuata kuwa ni wapigaji hivi ni safari ya Matumaini yeyote anaweza kujiunga hata wewe unaweza hesabiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.