Ikiwezekana wasiliana na LAPF wakusaidie kabadilisha mfuko LAPF wako vizuri sanaBaada ya kuajiriwa serikalini niliomba kuwekwa katika mfuko wa hifadhi ya jamii wa LAPF.Lakini kinyume na matakwa yangu nimewekwa katika mfuko wa GEPF.Naomba kujua kwa anayeijua vizuri hii,mnanishauri vipi?nibaki GEPF au ni-fight kurudi LAPF?
badilisha tu huo mfuko wa GEPF na tafuta mwingine mana hao jamaa ni shida. watakusumbua sana kwenye ishu zako za mafao yako.Baada ya kuajiriwa serikalini niliomba kuwekwa katika mfuko wa hifadhi ya jamii wa LAPF.
Lakini kinyume na matakwa yangu nimewekwa katika mfuko wa GEPF.
Naomba kujua kwa anayeijua vizuri hii,mnanishauri vipi?nibaki GEPF au ni-fight kurudi LAPF?