PSPF na mikopo ya kujikimu

PSPF na mikopo ya kujikimu

Ppf ndio mfuko bora yani huwa ppf mafao yao yakichelewa sana ni 1 week wana DG/MD Smart sana Mr. Erio jamaa ni kichwa sana ambacho serikali haitakiwi kukipoteza

PPF nao ni majanga matupu tena usiutaje kwani ni wezi watupu hakuna faida kwa wanachama wala mafao yao si lolote!
 
Ha sasa mfuko gani uko poa? Haya mwenye kujua na GEPF?
 
Mfuko Mzuri ni LAPF hawa PSPF wasanii sana hatimaye watu wameanza kuujua ukweli wakati naajiriwa kwenye ualimu niliwahi kuwachana live kuwa waongo sana sasa hivi wanawadanganya watu kuwa wanatoa viwanja,sasa kama mkopo wa kujikimu ni Magumashi pamoja na mbwembwe zao zote walizokuwa nazo wakati tunaripoti mwezi wa 5 hawa jamaa hawafai
 
Back
Top Bottom