kuhusu first year kupata mkopo ni kwamba bodi ya mkopo inatoa mikopo kwa kuzingatia vigezo na masharti,,yaan waliokidhi vigezo hivyo wamepata mkopo in short ni kwamba wanafunzi wengi wanaoripoti hapa wana mikopo ya % tofauti tofauti,ila wengi wana mikopo inayorange 20%-80%
Lakini sioni tatzo la yy kutaja chama cha siasa ambacho kinashukiwa kufanya hivyo coz km kwel watu wa chadema wamechakachuliwa then ni kawaida wao kureact na sio wa ccm maana wao wameshinda,tumia logic kk

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.