hapa nimewakubali CDM, rufaa yao ina maana kubwa sana, hapa wameendelea kujijengea hishima, hiki chama ni makini sana hwakurupuki tu hivi2, wana wa Arusha, MBUNGE wenu anarudi kazini bila uchaguzi, makamanda tuko, CCM itazikwa kama mbwa mwizi, subirini mtaniambia leo tarehe 07.04.2012...