Recent content by Lenjo

  1. Lenjo

    Natafuta binti alie tayari kuolewa

    Duh! Mkuu kwa hii njia yako utaishia kuwapata walewale, mwanamke mwenye sifa ulizitaja humpati kwa kutoa matangazo kaa hivi unless she is desperate....... So mi naona ujichanganye tu in the physical social world utampata unayemtaka kwa msaada wa MUNGU. Gudluck
  2. Lenjo

    Diwani wa CHADEMA Gibson Meseyeki auza Kata kwa CCM........

    Hizi tuhuma kuhusu mh Gibson ni za mizizi ya visa na havina mantik hata chembe. Uchapakazi wa huyu jamaa ndo uliofanya wanachama pamoja na raia wenye mapenzi mema kwa taifa hili kumtaja Kama mbunge mtarajiwa 2015 na sio yeye ndo kajitangaza. Jamani tulete hoja za msingi hapa na sio kupotosha JF...
  3. Lenjo

    Diwani wa CHADEMA Gibson Meseyeki auza Kata kwa CCM........

    Wana Jamii wenzangu mi natoka kata ya huyu mh Gibson na namfahamu vizur, naamini sisi sote katika familia hii(JF) tuna akili timamu. Swala la mh Gibson kuuza CDMA hajawai kutokea kwan huyu jamaa amejitoa mzimamzima kukomboa taifa hili kwa kusapoti upinzani kwa jadiri ya uwezo wake. Na hilo swala...
  4. Lenjo

    Mkenya na Wrong translation

    Dude! imekaa vizuri hiyo,its very funny
  5. Lenjo

    Je! Wajua.......?

    Sijui!
  6. Lenjo

    Je! Wajua.......?

    Wajemeni wasomi wenzangu na hasa wale wakokotoaji naombeni mnasaidie hili tatizo hapa. Kuna majibu mangapi katika swali hili? (√16-√9).naomba mnionyeshe cause nimebishana sana na folks kuhusu hili.
  7. Lenjo

    Nakuja kaa wambilikile

    If i had ever been so over irritated,is when I'm ignored or underestimated in whatever I'm about to do,as i believe that i can enhance an unlimited power of human spirit which i have in me and that i can be anyone or do anything if and only if i truly decide to do it. On top of that i like...
  8. Lenjo

    Very disappointin!

    A man went to the hospital to cut his defective leg,when he recovered after the surgery he found the doctor very upset.he asked "doctor what is wrong?" i have the good and bad news,the doctor replied.the man said start with the bad one,"I've cut the wrong leg" the doctor replied."santammariaaa...
Back
Top Bottom