Recent content by Lengutiye

  1. L

    Mtangazaji Farhia Middle wa Radio One: Wanawake ambao hawapendi kuwa na Mahusiano ( date ) na Wazee hawana Akili kabisa

    We taarifa umezipata wapi au ww ndio unamuhangaikia huko Serikali, Duh
  2. L

    Je, zama za kituo cha ITV zishaisha? Kijiti kapokea UTV

    Huu ni utafuti mdogo tu wa usiku huu ndugu kabla hujaandika uwe unafanya utafiti acha unazi
  3. L

    Je, zama za kituo cha ITV zishaisha? Kijiti kapokea UTV

    Utakuwa na chuki binafsi hapa
  4. L

    Je, zama za kituo cha ITV zishaisha? Kijiti kapokea UTV

    Mtoa mada bila shaka ww ni mfanyakazi wa azam kwahiyo umeamua kujipigia promo lakini kwenye habari nchi hii hakuna kama ITV saa mbili ikifika kila kona ya nchi watu wanatazama itv sasa sijui ww unazungumzia itv gani bado inafanya vizuri ikifika saa mbili kila kona nchi hii wanaangalia itv shida...
  5. L

    GE2020 Dakika 45 ITV tunaamini baada ya kumhoji Kitila Mkumbo anayefuatia ni Boniface Jacob

    Alinunua kipindi kwa mujibu wa wahusika wa itv wanasema hivyo
  6. L

    GE2020 Dakika 45 na Bernard Membe ITV: Baadhi ya mambo aliyoongea

    Mgombe Urais kupitia ACT amesema hakuna nchi duniani inayomiliki ndege ashangazwa Tanzania kuendelea kununua Ndege
  7. L

    Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

    Hayo maswali kwanini usimuulize wewe,au hao watangazaji uliowataja kwanini wasimtafute ili wamuulize hayo maswali nadhani ungewashauri hao watangazaji wako wamtafute wamuulize hayo maswali
  8. L

    Farhia Middle punguza huo unene

    Anakiherehere kweli huyu jamaa utazani yy ndio anamla huyo dada sisi wengine ndio tunampenda hivyo alivyo hasa anapopita pale mbele huyu dada yupo vizuri sana kwasasa kati ya watangazaji wa kike nchini
  9. L

    Farhia Middle punguza huo unene

    Utakuwa na chuki binafsi tu wewe sio bure kama ni mwanamke labda amekuibia bwana na kama ni mwanaume huna tofauti na kina james delicious
Back
Top Bottom