Yah ni kweli nikiangalia timu zote haziko vizuri sana ila najaribu kuona jinsi Liverpool ilivyo kihistoria na jinsi inavyozidi kuimarika kila uchao kupitia kwa washambulizi wake kina mohamed salah
Hili swali la 'baba lini tutakuwa na nyumba yetu" nilishaulizwa na mwanangu tena ndo kwanza yupo class1 mpaka nishamchoka! Nadhani wakiwa shule huwa wanatambiana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.