CCM nzima ni mbovu,kuna kila dalili kuwa CCM haiwezi kusaidia tena wananchi milioni 45 watanzania,hawana software ya kutatua matatizo,hata wale wanaona wako vizuri kwenye chama ni wale ambao si mafisadi,lkn na wao pia hawana uwezo wa kutatua matatizo ya watu,Kwa hiyo kwa kifupi hakuna...