Recent content by len

  1. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta used marine board

    Sikuzipata, ilibidi nifanye maarifa mengine kukamilisha mradi
  2. L

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Goba Maghorofani

    Eneo la ekari moja linauzwa Goba Maghorofani. Bei: Tsh. 160,000 per sqrmt. Mawasiliano: Wasiliana na mwenyewe moja kwa moja bila dalali 0788 284 554
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta used marine board

    Habari wakuu. Nahitaji used marine board, piece 40. Niko Dar Mbezi Juu.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kutokupenda habari kuhusu Mungu ni aina gani ya tatizo?

    Mungu ni pendo, anapenda watu wote na tena hapendi mtu yeyote apotee. Karibu Infinity Glory Church Mbuyuni Dar es Salaam tujifunze juu ya upendo wa Mungu kwa wanadamu.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi wa smart tv - Aiwa

    Nashukuru jana nimepata fundi, kitu kimeshakaa vizuri
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi wa smart tv - Aiwa

    Nina Aiwa smart tv ambayo haidisplay chochote ukiiwasha. Nahitaji fundi aje aiangalie.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kununua magari kupitia Alibaba.com

    Asante sana mkuu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kununua magari kupitia Alibaba.com

    Wakuu habari za jioni. Nimepitia alibaba.com nimeona kuna magari watu wanauza humo, yanaonekana ni mazuri sana na bei zao ni nzuri. Niliyoyaona humo yanauzwa kutoka China. angalia kwa mfano hii Rav4...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nimeikatalia shule kunilazimisha kumpeleka mtoto boarding. Mtoto ana uwezo wa kawaida na yupo karibu na shule, sioni umuhimu wowote

    Hongera sana kwa ujasiri wako. Binafsi siungi mkono kabisa huo utaratibu wa kuwapeleka boarding watoto wa darasa la saba. Makuzi na malezi ya mtoto sio tu kuhakikisha wanafaulu mitihani yao shuleni. Yako mengi sana wazazi tunapaswa tuwafundishe watoto wetu kwa kuwa nao nyumbani.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye basi la Kilimanjaro latangazwa kupigwa mnada

    Kampuni ya udalali ya Legit Auctin Mart ya Dar es Salaam imetangaza mnada wa kuuza basi la kampuni ya Kilimanjaro Express kwa amri ya mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam. Kutangazwa kuuzwa kwa basi hilo kutokana na kampuni la Kilimanjaro kushindwa kulipa deni la shilingi milioni mia tatu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Tunamshukuru Mungu hakina nguvu tena
  12. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuweni makini na utapeli nimepigwa milioni na ushee, matapeli wanakuja na njia mpya kila siku

    Hivi dunia hii kweli bado kuna watu wanaamini kuwa unaweza ukatumiwa zawadi na mtu mliyejuana naye mitandaoni tu?
  13. L

    JamiiForums Tanzania 3yrs married in the Bible

    Hizo data umezipata wapi? Hebu lete huo ushahidi hapa, usije ukawa unaandika kutoka kichwani kwako tu!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume amshauri Bashe kutotatua shida ya Sukari kipindi cha mfungo Ramadhani

    Sukari ipatikane wakati wote tu. Sisi wengine hatujui kwaresma wala ramadhan
  15. L

    JamiiForums Tanzania Domain Name, website

    OK, nitakucheck inbox
Back
Top Bottom