Recent content by lembenikwetu

  1. L

    Kwenye ulimwengu wa Waislamu, Rais Samia Suluhu ni Mwanamke wa nne Duniani kushika nafasi ya Urais

    Hii idadi ndogo inatokana pia na mfumo dume na ukandamizwaji wa wanawake katika dini hiyo. Yani mwanamke anaonekana hana haki ya kuongoza wanaume hata wanae wa kuzaa.
  2. L

  3. L

    Haki za Mtoto kwa wazazi waliotengana

    Habarini wapenzi, naomba mnisaidie. Kwa mujibu wa sheria kama wazazi wametengana na watoto akapewa mama awalee. Je, iwapo mama amebadili dini baada ya ndoa kuvunjika (1) ni kosa kisheria? (2) Na je kwa sababu hiyo mahakama inaweza kumnyang'anya mama mtoto? (3) Ni sahihi kwa mtoto kupelekwa kwa...
  4. L

    Mke wangu ananipa wakati mgumu

    Kwanini atoe mimba aue? Kama meshaamu kuzini mpk kubeba mimba ni aheri tuu ukubali hakua ubavu wako, na kama unaona huwezi kumuacha basi ishi naye lakini usiue kiumbe kilichopo tumboni. Uwalee wote mama na mtoto
Back
Top Bottom