Recent content by lembatusilver

  1. L

    Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

    Msiwaamini wanasiasa awe mtawala wala upinzani maneno ya zito kabwe. Maneno anayosema mbowe changanya na yako.
  2. L

    CCM njiapanda Urais 2015: Kumpitisha Lowassa au chama kumeguka

    Nakuapia vijana tumejipanga kumfuata lowassa popote. Ole wao wamlete mwingine kipigo cha mbwa mwitu.
  3. L

    Said Arfi, Letecia Nyerere na John Shibuda Mtamfuata Lini Zitto?

    Magari yote na mali za chadema zimesajiliwa kwa jina la mbowe. Hapo vipi vibaraka.
  4. L

    Tamko la mali na madeni ya Zitto Kabwe wa chama cha ACT Wazalendo

    Nyie pigeni domo amepataje msifanye kazi endelea kuchati kwenye JF kuwafuatilia wenzako usifanye kazi. Endelea kuweka ubongo kwenye boksi mwisho wa siku utaambulia kuuliza kwa walionayo amepataje.
  5. L

    Kitendawili cha Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania...

    Sisi tnamjua raisi wa tanzania atatoka miongoni mwa watakaochukua fomu. Nikimaanisha kuwa watachukua fomu watapitishwa wote na kamati kuu halafu watakuja hadi Halmashauri kuu ndipo wapigiwe kura na halmashauri kuu, atakayepata kura nyingi ndiye atakayekuwa rais wa nchi. Acheni viherehere na...
  6. L

    GE2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

    Kwa taarifa yako hakuna atakayekata jina la lowassa kwa misingi ipi? hiyo hofu toa kabisa wananchi tutavamia hiyo kamati
  7. L

    Je, Kukubalika kwa Lowassa ni kielelezo cha kuzikwa kwa hoja ya rushwa na ufisadi?

    mleta mada jaribu kufikiria suala la elimu kwa kizazi kijacho. sio lowasa hata hao wa ukawa ndio hao hao tena wabaya sn
  8. L

    Nape ajitokeze kumkemea Membe

    Afadhali nchi ibaki bila kuwa na rais kuliko membe kuwa rais wa nchi hii.
  9. L

    Taarifa: Mkutano Mkuu na Uzinduzi wa chama cha ACT, Tarehe 28 na 29 Machi

    Tuko pamoja mzalendo TAIFA kwanza chama Baadae mpaka kieleweke.
  10. L

    Tamko Rasmi la Wanafunzi wa Vyuo vya Dodoma

    Tena ingekuwa sio kasema mwenyewe msibiri. kundi kubwa lilikuwa limejipanga kwenda tar .1 april muongee zaidi.
  11. L

    Tamko Rasmi la Wanafunzi wa Vyuo vya Dodoma

    Kila mkipigwa bao na lowasa ndo mnajitokeza. msubiri tena cku ya mwisho akiapishwa kesho yake mjitokeze. akili ndogonyie
  12. L

    Tamko Rasmi la Wanafunzi wa Vyuo vya Dodoma

    Mnyie mnaokana cku zoote mlikuwa wapi? Tuwaamini nani hao waliojitokeza laivu tukawaona kwa macho yetu au nyie.
Back
Top Bottom