Nape ajitokeze kumkemea Membe

Nape ajitokeze kumkemea Membe

Lowassa ana ugonjwa menengitis,shingo imekakamaa sana kama vile ana stroke....
 
La msingi tujiulize, alicholiongea leo Membe angepelekwa Lowasa angeweza kuongea na kua very composed kama Membe? Academically Membe yupo juu sana
 
Membe hajafanya kampeni ila katoa nondo zimeenda shule sio mchezo angekua Lowasa tungepata aibu tu
 
Kumbe nawe ulipewa nafasi ya kiupendeleo na ya kibaguzi ya ushiriki! Tayari nawe una genge lako pamoja na Nape, umekosa uzalendo kwa Taifa letu
 
Nape Nnauye ajitokeze kukemea kitendo cha Mbunge wa jimbo la Mtama kuanza kampeni za urais kabla ya wakati kinyume kabisa na utaratibu wa chama ulivyo.

1. Kwa haraka ya kutaka kukimbilia ikulu, Membe amefikia hatua ya kuingilia idara za viongozi husika ndani ya chama. Mfano Membe Leo ameshiriki kongamano la vijana (CHINA-AFRIKA) lililoandaliwa na UVCCM na CPC Youth League. Muhusika wa hii idara ni Mama Asha Rose Migiro linalofanyika Ngurudoto.

Hiki ni kinyume kabisa na utaratibu, sheria, kanuni na katiba ya CCM. Tunataka Nape ajitokeze kulikemea hili.

2. Kesho Jumapili Membe anakuwa mgeni rasmi kwenye mahafari ya shule za Tumaini kule Tabata.

Pia anakuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 15 ya Tamasha za nyimbo za injili linaloandaliwa na Msama. Huko kote Membe amehonga jumla ya Milioni 50 ili aalikwe.

Huku ni kuanza kampeni kabla ya wakati kwani wenye akili timamu tunajiuliza kwani ahonge ili awe mgeni rasmi haswa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu?

Narudia tena, Kutaka kusikia domo la Nape likifunguka kukemea kitendo hichi cha Membe kuanza kampeni za urais kabla ya wakati.

Tofauti na hapo tutajua Nape , CCM kwa ujumla tayari wana mgombea wao wa urais na wanataka kuwachagulia kwa nguvu Membe awe Rais.
Tatizo la Membe ana kiherehere! Yeye na Lowasa wanajihisi kama wao ndiyo wameumbwa ili wawe marais wa Tanzania..!
 
Iyo ndio kazi ya mbunge?
Tuanzie hapo kwanza
 
Nape Nnauye ajitokeze kukemea kitendo cha Mbunge wa jimbo la Mtama kuanza kampeni za urais kabla ya wakati kinyume kabisa na utaratibu wa chama ulivyo.

1. Kwa haraka ya kutaka kukimbilia ikulu, Membe amefikia hatua ya kuingilia idara za viongozi husika ndani ya chama. Mfano Membe Leo ameshiriki kongamano la vijana (CHINA-AFRIKA) lililoandaliwa na UVCCM na CPC Youth League. Muhusika wa hii idara ni Mama Asha Rose Migiro linalofanyika Ngurudoto.

Hiki ni kinyume kabisa na utaratibu, sheria, kanuni na katiba ya CCM. Tunataka Nape ajitokeze kulikemea hili.

2. Kesho Jumapili Membe anakuwa mgeni rasmi kwenye mahafari ya shule za Tumaini kule Tabata.

Pia anakuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 15 ya Tamasha za nyimbo za injili linaloandaliwa na Msama. Huko kote Membe amehonga jumla ya Milioni 50 ili aalikwe.

Huku ni kuanza kampeni kabla ya wakati kwani wenye akili timamu tunajiuliza kwani ahonge ili awe mgeni rasmi haswa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu?

Narudia tena, Kutaka kusikia domo la Nape likifunguka kukemea kitendo hichi cha Membe kuanza kampeni za urais kabla ya wakati.

Tofauti na hapo tutajua Nape , CCM kwa ujumla tayari wana mgombea wao wa urais na wanataka kuwachagulia kwa nguvu Membe awe Rais.
Amkemee kafanya nini?
 
Mleta mada anatuambia Nape amkemee maembe.
 
Back
Top Bottom