Recent content by Lemaitre

  1. Lemaitre

    Hizi ndio sababu kwanini watu wengi wanaogopa kujenga gorofa

    Sijajenga Ghorofa, lakini Jiji kama Nairobi linanifanya nihisi ujenzi wa Ghorofa si Gharama sana. Maana Ghorofa zinajengwa kwa kasi kama tunavyojenga Frame za biashara bongo.
  2. Lemaitre

    Telegram sipokei verification code

    Watu wa Iphone vipi?
  3. Lemaitre

    PreGE2025 Kwa niliyoyaona Mwanza leo, ni sahihi sana CCM kuchanganyikiwa. Nimeelewa kwa namna gani inawauma

    CCM ingekuwa kampuni ilifaa ibadili jina, maana imechafuka sana.
  4. Lemaitre

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Kwanini watu wanshindwa kufunga? Me naona kama mtu umeamua kufanya biashara ya nyumba za kupagisha, hii inafaa iwe kipaumbele.
  5. Lemaitre

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Me nahisi zile zao ni bei nafuu sana. Maana kila nyumba yakupangisha lazima wawe nazo.
  6. Lemaitre

    Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Huwa sielewi kinashindikana nini. Kenya unakuta Jengo moja linawapangaji 100 Lakini kila mpangaji anaweza umeme kivyake na anameter yake. Ndio maana ukichelewa kulipa rent caretaker anakuzimia umeme nyumba yako tu.
  7. Lemaitre

    Mama na Baba wenye nyumba za kupangisha, karibuni tupeane uzoefu na changamoto

    Uzi mzuri. Kuna vitu naomba niulize; Issue ya umeme kwa wapangaji wengi unakabiliana nayo vipi? Utaratibu wa kulipa deposit upoje kwa Tanzania? Je, ni hauruhusiwi au ni tumeamua tu, maana kukiwa na deposit na kodi kulipwa kwa kipindi kifupi kifupi inasaidia nyumba kutochakaa. Asante!
  8. Lemaitre

    Bingwa wa kulike kapotelea wapi?

    😂 Kuna kipindi alipotea jukwaani, wakasema ameenda Tandabui kusoma ( Tandabui College ilikuwa maarafu kipindi hicho)
  9. Lemaitre

    Kiranga na jamaa zake wanaweza wasionekane kwenye thread mbalimbali lakini uzi wowote unaomsifia Mungu huwakosi

    Kwamba wakikomaa wanaweza kuwatoa kwenye reli 😃? Kumbuka hii ni public forum.
  10. Lemaitre

    Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

    Yeah! Hiki ndio nimeona pia. Ni muda wa watu kupambana wenyewe,
  11. Lemaitre

    Lema na CHADEMA hawaijui "The National Payments System Act of 2015" isiyotambua matumizi ya CRYPTOCURRENCY

    Accounts za michango zote ziko wazi. Onyesha hiyo Crypto Address ya chadema inayopokea michango.
  12. Lemaitre

    Lema na CHADEMA hawaijui "The National Payments System Act of 2015" isiyotambua matumizi ya CRYPTOCURRENCY

    Thread 'Lema: Tukiruhusiwa tutatumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili kuweza kukusanya michango ya mkakati wa Tone Tone' Pre GE2025 - Lema: Tukiruhusiwa tutatumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili kuweza kukusanya michango ya mkakati wa Tone Tone
  13. Lemaitre

    Lema na CHADEMA hawaijui "The National Payments System Act of 2015" isiyotambua matumizi ya CRYPTOCURRENCY

    Hawezi kuweka, maana Lema amesema “kama tukiruhusiwa” hii inamaana haitumiki bado lakini serikali ikija kuona inafaa wanaweza ruhusu.
  14. Lemaitre

    Elewa kuhusu taaluma au ujuzi wa Programming

    Mkuu, kama kuna community za Tanzania naomba kujiunga. Hasa kwenye upande wa Cybersecurity. jikuTech Mzembe flani Cybergates
Back
Top Bottom