Recent content by Lema Sumary

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Putin aliamua kuwa kapera/bachela?

    Putin mkewe anaitwa Lyudimila Aleksandrovna ......siyo bachela labda useme mtaliki.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hongera sana mwanariadha Gabriel Geay na inabidi serikali ikuunge mkono

    Mbona kama na Serikali ina mpanga wa kujenga kituo kikubwa na cha kisasa cha riadha hapo Babati
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tyre cover

    Weka size ya tairi eg.225-65R15
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita wavunja rekodi,wagombea ubunge wawili ni wahitimu wa darasa la saba B

    Mimi naona hawa ambao hawajasoma wanapitisha mikataba na kuisaini bila kujua kilichoandikwa humo.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya hoja ya mifumo kusomana je, taifa gani mifumo haisomani

    Hicho ni ki_Makonde ninavyojua.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bia za moshi na Arusha ni tamu kuliko bia za mikoa mingine?

    Siyo maji yote ya Arusha na Kilimanjaro yana Fluoride .
  7. L

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa Baraza la Mawaziri baada ya Bunge kuvunjwa ukoje?

    Hili suala hata mimi nimekuwa najiuliza pia.Kisheria mawaziri wanapaswa kuwa wabunge sasa hawa waliopo wapo wapo je????? Na kwa Katiba ipi labda.Wataalamu wa Katiba tupeni uelewa tafadhali.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hii hapa mikoa inayotegemewa na TRA kwa mapato ya Kodi

    Mleta mada atakuwa mtu wa Mwanza ameiacha Arusha kwa maksudi ila ni #2
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

    Kama ni hivyo hamna shida ni vizuri.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

    Viwanja na mashamba ni vyema usimfiche ila huo utaratibu wenu wa ku- sachiana pochi dah!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Simba haikuchangia CCM kama ilivyofanya Yanga?

    Watakuwa walichangia kimya kimya bila mbwembwe.
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

    Kuna wanawake watundu wanang'ang'aniaga kuzinyonya hasa kama kidari kimejaajaa.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Julius Malema anataka ukahaba uhalalishwe

    Rekebisha sentensi yako ya pili ondoa "kuharamisha" weka "kuhalalisha".
Back
Top Bottom