Recent content by LEMA.C.F

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro Atoka Hospitali, Atoa Shukrani Kwa Mungu na Awashukuru Wote!.

    Acha ubaguzi wa kukosa maarifa wewe...Mpalestina???????????
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Viongozi na wanachama wote wa CHADEMA

    CCM na TISS walifanikiwa sana kuviuwa na kuvisambaratisha vyama vya NCCR-MAGEUZI na TLP kwa mbinu kama hizi. Kwa CUF walitumia udini. Udini, ukabila, ugaidi ni mbinu zilizoshindwa kuibomoa CHADEMA hivyo mbinu hii ya uchonganishi inaonekana kama ndiyo silaha pekee iliyobaki. kwa mafisadi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Rutta Sasa hata mimi naanza kuona the motive behind kama hata DR Slaa analike vitu bila ushahidi wowote ni uhakika kuwa sasa chama kimejaa fitna,majungu na unafiki wa wazi kabisa.Taarifa za siri za chama zinavuja then hawa viongozi wanatuambia nini sisi wanachama naona kuna umuhimu wa Mbowe na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Mkuu Mi bado napata shaka na nini sisi kama wanachadema tunafanya hivi kweli huyu Yeriko ni nan mpaka sasa CDM sijawahi na wala sitegemei kuona lolote la maana kwake..Tunapambana kuimarisha chama watu wengine wapuuzi wanatuvurugia tumejiabisha sana na mmetukatisha tamaa wengi..
  5. L

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Ruta Nafikiri yanayoendelea hadi sasa ni uongozi wa juu kuwaogopa both Zito na Godbless.Kila mara napata wasaa kupitia Fb ya Zito bado siasa za fitna wote na Godbless wanafanya pitia leo..Sasa wakati umefika wa uongozi wa juu kuwasimamisha uanachama kwa muda wote Zito,Godbless,Nassary,Kilewo na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Ni upuuzi na uwendawazimu kuwa na wanachama wasiojua thamani ya kujenga na kuimarisha chama leo watu wanajitokeza kwenye mitandao kukashifiana kama sifa kumbe hamna lolote la maana..Wanachadema wenzangu kwa hili tumefika pabaya na hakuna maana yeyote tena ya kuendelea na watu kama hawa lazima...
  7. L

    JamiiForums Tanzania LOWASSA Vs CCM: CCM Wakati Ni Sasa Wa Maamuzi Magumu ya Kusuka au Kunyoa!

    Madhara ya kutochukua maamuz mapema sasa CCM ni kulaumiana tu.Na bado mtakoma
  8. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kikifanya uchaguzi tu kimekwisha!

    Chama hakiwezi acha kufanya uchaguzi kwa kuhofia chma kingine cha siasa katiba inafuatwa uchaguzi ni mwaka 2014 kama katiba inavyoelekeza full stop..Acha kufanya propaganda za kipuuzi CDM ni taasisi huru kimaamuzi..Hivi Mwenyekiti MH KIKWETE aligombea na nan????????
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

    Tatizo la msingi kwa mwanachama yeyote ni jinsi ya kuwasilisha mawazo yako..Naamini kwenye vikao halali vya chama watu husikilizwa hili linafanyika sana ila huwzi poteza muda pia kumsikiliza mtu ambaye tayari anahisi kuonewa...Mwigamba ni mwanasiasa makini kakosea ndio kubaini tatizo...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA uzinduzi wa Kanda ya Kati wahamishwa kiwanja!

    Mwalimu siasa ni sera na itikadi,,sisi tanaenda kuelimisha watu juu ya sera ya Majimbo,,jana RPC alikuwa amekataa mkutano leo akakubali jiulize ni kwanin?mimi bado naamini wewe ni mtu anayejua kujenga hoja vizuri ila hasira hasara,,sasa upo kwenye chama usichokipenda toka moyoni mwako,,rudi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA uzinduzi wa Kanda ya Kati wahamishwa kiwanja!

    Usalama vipi mkuu,,la muhimu ni kueleza sera na mipango ya chama katika vuguvugu la M4C ndo habari ya muhimu...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA inasimama na Lwakatare, maamuzi ya Kamati Kuu

    CHADEMA tunahitaji umakini sana kupambana na swala nyeti kama hili itasaidia sana kuondoa giza nene katika hili,,lazima tuwe na Lwakatare hadi mwisho ili tuupate ukweli
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, uvumilivu wa Zitto umekisaidia sana CHADEMA

    Pia tuwe wakweli kuwa Dr Slaa ameonesha uvumilivu mkubwa pia kwa wale ambao ZZk alishindwa kuwakanya kwa kumchafua Dr slaa mitandaoni huku wakijinadi ni wafuasi wa ZZK hili ndilo limetufikisha hapa ZZK angeweza kusidia hili mapema ila na yeye alipuzia tunachoshudia ni upande wa ZZK kulemewa na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kisutu alikataliwa Hakimu!

    Dhamira ya dhati ya kumkomboa mtanzania tunayo wote ni jukumu la wote walio watumishi popote kuhakikisha dhana ya NGUVU YA UMMA,, inatafanyiwa kazi ````NO ONE CAN GO BACK AND CHANGE A BAD BENNING,,BUT WE CAN START AND CREATE A SUCCEFUL ENDING''
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

    Mi mwanachama hai kabisa wa CDM tunatumia nguvu kubwa sana kushawishi watu kujiunga na chama lakini vita hii ya bro Ben na Naibu katibu mkuu wangu wa chama ZZK haitamnufaisha yeyote zaid ya kuharibu chama,Bro Ben najua wewe ni moja ya watu tuliokua tunachukizwa sana na jinsi SHONZA NA...
Back
Top Bottom