Recent content by leirilwa

  1. L

    Kupandishwa madaraja kwa Walimu

    Habari wana JF, Naomba kuuliza hili, Kuna hii issues ya Walimu walioanza kazi mwaka Moja kutofautiana madaraja. Unakuta mwingine yuko daraja E na mwingine yuko F. Unakuta baadhi ya Halmashauri walimu wanapanda kwa wakati lakini zingine wanakaa miaka 5 hawajapandishwa. Je, walimu walioanza...
  2. L

    Natafuta fundi wa kuweka fog lights kwa gari

    Kwanini mkuu!? Sababu Nini hasa ?
  3. L

    Natafuta fundi wa kuweka fog lights kwa gari

    Noted! So nyaya ndo kitu Cha kuangalia eh!
  4. L

    Natafuta fundi wa kuweka fog lights kwa gari

    Mkuu elfu kumi tu! Hizo Ni gharama ya kununua fog lights au za fundi???
  5. L

    Natafuta fundi wa kuweka fog lights kwa gari

    Habari if! Naomba mwenye kumjua fundi makini wa kuniwekea fog lights kwenye gari yangu Toyota axio kwa Dar au Arusha , mkinifahamisha pia gharama nitashukuru , fog lights za round ( HID bulbs)
  6. L

    Naomba ushauri! Nataka kuagiza gari Japan

    Nataka kuagiza gari Japan Toyota premio ya mwaka 2005/2006.Naombeni kwa wenye uzoefu wa kuagiza gari from Japan, Je ni kampuni ipi ni waaminifu ! Je what if umetuma hela then baada ya hapo unayefanya naye biashara amekata mawasiliano. Kuna hii kampuni inaitwa Trust Japanese Vehicles.com ikoje...
  7. L

    Nahitaji gari

    Habari wanajf!! Naombeni ushauri na maelekezo, nataka kununua gari IST new model ya 2007/2008 au rava 4 sijui niite model gani! hizi ambazo hazijaandikwa 'rava4 L wala rava4 J' imeandikwa tu rava4 nadhani new model wazoefu WA magari watakuwa wamenielewa .Nataka kujua tofauti za gharama kwa...
  8. L

    Naomba ushauri juu ya mikopo ya wafanyakazi kutoka kwenye mabenki yetu

    Habari wanajf! Naomba ushauri kwa yeyote mwenye experience juu ya mikopo ya wafanyakazi kutoka kwenye mabenki yetu hapa nchini, ni benki gani inatoa mikopo mizuri (hela kubwa kidogo na riba nafuu) kwa mfanyakazi mwenye basic salary ya 520000 hiv, anaweza kupewa mkopo kiasi gani .Natanguliza...
  9. L

    Mwanaume kuchukua mshahara wa mke

    Issue sio ubinafsi mkuu ninacholalamikia ni mtu kuchukua mshahara wa mwenzake wote na Bado ninapoenda kazini Hanipi hela ya matumizi!
  10. L

    Mwanaume kuchukua mshahara wa mke

    sifanyii upuuzi wowote,nimesema kwa ajili ya matumizi niwapo kazini Kama nauli, lunch na mengine
  11. L

    Mwanaume kuchukua mshahara wa mke

    Na Kama hanipatii hela ya matumizi!how is that OK ?
  12. L

    Mwanaume kuchukua mshahara wa mke

    Naomba uhalali wa mwanaume kuchukua mshahara wa mke wake kwa nguvu, kuna sheria yoyote juu ya hili?
Back
Top Bottom