Habari wanajf!! Naombeni ushauri na maelekezo, nataka kununua gari IST new model ya 2007/2008 au rava 4 sijui niite model gani! hizi ambazo hazijaandikwa 'rava4 L wala rava4 J' imeandikwa tu rava4 nadhani new model wazoefu WA magari watakuwa wamenielewa .Nataka kujua tofauti za gharama kwa kuagiza Japan au kununua ktk yard za Tz na kama kuagiza nje inachukua muda gani kunifikia mkononi! Natanguliza shukrani wandugu!