Mwanaume kuchukua mshahara wa mke

Mwanaume kuchukua mshahara wa mke

Hiyobiashara ambayo yeye haijui!
Story yake ndio tatizo ajaweka wazi kwamba ela anataka kufanyia nini... na kama umeelewa huyu mtu hafai kuwa kwenye ndoa manake uwez lalamika eti mume anachukua mshahara wako... ni ubinafsi tu
 
Sijawahi fanya hicho kitu toka nianze kulipwa. Hizo ni dalili za kupenda kulelewa na mwanamke. Yaani mwanaume umeishiwa mbinu za kuongeza kipato mpaka uanze kufuatlia mshahara wangu!?
 
Unajua kwenye mkataba wako wa kazi kuna kifungu kinachosema mshahara ni siri ya wewe na mwajili wako haipaswi kuzungumzia na mtu mwingine? Kwanza ni nyege gani zilikupata ukampa password yako? Mimi demu wangu sitaki nijue anaingiza shs ngapi wala anaweka wapi maybe itokee nimekwama ndio naomba aniazime napo huwa sirudishagi kwa kweli
 
Inategemea makubaliano,Mume wangu anachukua salary yangu tunachanganya na ya kwake,kabla ya yote tunatoa ela ya matumizi ya nyumbani,inayobaki tunapanga kufanyia maendeleo.Hata zikitokea tips kazini tunazileta mezani.
Imetulazimu kufanya hivi kwa kua tulipitia kipindi kigumu sana katika maisha yetu ya ndoa,kula yetu ni MUNGU tu ndo alikuwa anajua inatoka wapi.
MUNGU Ni Mwaminifu Alituvusha salama,bila uvumilivu tungeshaachana siku nyingi,Tunamshukuru Mungu pia alitubariki na watoto
Like your post
 
Sijawahi fanya hicho kitu toka nianze kulipwa. Hizo ni dalili za kupenda kulelewa na mwanamke. Yaani mwanaume umeishiwa mbinu za kuongeza kipato mpaka uanze kufuatlia mshahara wangu!?
Basi kaa ujue unamwenzako pembeni anakusaidia kutimiza majukumu ya uanamke... la sivyo uliingia kwa ndoa kwa kutokupenda au uliona ni muda umefika wa kuolewa... nini maana ya uwazi sasa? Kuoana/kuoa wasomi kazi sana!!
 
Unajua kwenye mkataba wako wa kazi kuna kifungu kinachosema mshahara ni siri ya wewe na mwajili wako haipaswi kuzungumzia na mtu mwingine? Kwanza ni nyege gani zilikupata ukampa password yako? Mimi demu wangu sitaki nijue anaingiza shs ngapi wala anaweka wapi maybe itokee nimekwama ndio naomba aniazime napo huwa sirudishagi kwa kweli
Umeshasema demu wako
Huyu ni mke wa mtu kuna utofauti hapo
inaonesha kuna jambo ambalo limefanya mmewe azchukue kilazima
aweke upande wa pili tujue
 
Kama unafanyia upuuzi acha achukue tu akusaidie kufanya maamuzi ya msingi kwa familia. Demokrasia nazo zinahitaji mke mwerevu sio kila mwanamke tu,huwez kupewa mshahara kwa mfano wa laki 8 halafu unanunua wigi la laki 3 wakati mumeo keshakwambia kipaumbele cha mwaka huu ni kujenga nyumba ambayo mtakaa wewe na wanao hata yeye akifa...jipime kwanza akili yako,kama mbovu acha akusaidie
sifanyii upuuzi wowote,nimesema kwa ajili ya matumizi niwapo kazini Kama nauli, lunch na mengine
 
Kesi kama hii haihitaji kuskiza upande wa pili manake inaonekana dhahiri huyu mleta thread ni mbinafsi...

What if mmewe amechukua kwa ajili ya kuongeza mtaji kwenye biashara au kujenga nyumba?...

Huyu hafai kuwa mke ni kidonda cha tumbo hiki kinataka ela kwa ajili ya wigi
Issue sio ubinafsi mkuu ninacholalamikia ni mtu kuchukua mshahara wa mwenzake wote na Bado ninapoenda kazini Hanipi hela ya matumizi!
 
Alishawai kuhitaji msaada wako wa fedha before?

Au kabla ajachukua hizo fedha alisema anataka afanyie kitu gani?

Kama kakupora basi jaribu kukaa nae chini kwanza ujue wapi tatizo/sababu kuliko kukimbilia jf moja kwa moja
 
Huo mshahara unapata kwenye bahasha au anauchukua kwa acc yako?acha uzembee dada kwamba huwezi kumwambiaa anachofanya si sahihi au ni nn?
 
Alishawai kuhitaji msaada wako wa fedha before?

Au kabla ajachukua hizo fedha alisema anataka afanyie kitu gani?

Kama kakupora basi jaribu kukaa nae chini kwanza ujue wapi tatizo/sababu kuliko kukimbilia jf moja kwa moja
Utakuta Jamaa kakwama kwenye mambo yanayohusu familia na yeye akiambiwa asaidie anasema hana hela sasa imetokea zali jamaa kazifuma zimefichwa sehemu ni bora abebe zote ili siku nyingine mtoa mada ajifunze majukumu ya familia ni ya wote.
 
Dah...moja wapo ya haram kuu kwa mwanaume ni kula mshahara wa mwanamke....hi ni asili tu...wala haihitaji mjadala....

....
Statistics from Kenyan banks indicate that men withdraw a lot of money on Friday and women deposit a lot of money on Monday.

Source: *Kenya Bankers Association.*
 
Unajua kwenye mkataba wako wa kazi kuna kifungu kinachosema mshahara ni siri ya wewe na mwajili wako haipaswi kuzungumzia na mtu mwingine? Kwanza ni nyege gani zilikupata ukampa password yako? Mimi demu wangu sitaki nijue anaingiza shs ngapi wala anaweka wapi maybe itokee nimekwama ndio naomba aniazime napo huwa sirudishagi kwa kweli
Ushasema dem
 
Basi kaa ujue unamwenzako pembeni anakusaidia kutimiza majukumu ya uanamke... la sivyo uliingia kwa ndoa kwa kutokupenda au uliona ni muda umefika wa kuolewa... nini maana ya uwazi sasa? Kuoana/kuoa wasomi kazi sana!!
Niliingia kwenye ndoa kwa kupenda kulelewa na mwanaume na kuzaa watoto na sio kulea mwanaume. Mamarioo utawajua tu kwa kauli zao.
 
Unajua kwenye mkataba wako wa kazi kuna kifungu kinachosema mshahara ni siri ya wewe na mwajili wako haipaswi kuzungumzia na mtu mwingine? Kwanza ni nyege gani zilikupata ukampa password yako? Mimi demu wangu sitaki nijue anaingiza shs ngapi wala anaweka wapi maybe itokee nimekwama ndio naomba aniazime napo huwa sirudishagi kwa kweli
Haa hah
 
Back
Top Bottom