Recent content by leh

  1. leh

    Jitengenezee Streaming Server (Kama Netflix) Local (ya Nyumbani Kwako) [Tutorial]

    kweli mkuu. ngoja niongeze maneno kidogo hapo
  2. leh

    Jitengenezee Streaming Server (Kama Netflix) Local (ya Nyumbani Kwako) [Tutorial]

    Wengi wetu ni wapenzi wa Movies na Series. Streaming services zililetwa kupambana na hali ya watu kutotaka kulipia cable services na pia watu kutumia piracy. Mwanzoni ilikuwa idea nzuri, lakini baada ya streaming companies kuongezeka na bei zao kupanda, inakuwa ngumu sana (haswa kwa sisi wa 3rd...
  3. leh

    Nichukue laptop ipi kati ya hizi mbili?

    Kama charge sio muhimu, kwann usiende na custom PC? bei ni nafuu zaidi, na incremental upgrades zinakuwa rahisi. I built my current PC in 2018, na since then, nimebadilisha GPU mara tatu (RX 580 -> GTX 1070 -> RTX 3070), CPU mara mbili (Ryzen 7 2700X -> Ryzen 7 5700x), mobo mara mbili (ya...
  4. leh

    Nje ya bando, huduma zipi za online huwa unalipia?

    1. Google One 2. YT Premium Family 3. Microsoft 365 Family
  5. leh

    She wants to pay me "in kind"

    bora umeeleza ni kshs, nimekaa hapa najiuliza, huyu jamaa analilia 12k tshs? ushauri wangu ni wakubaliane iwe malipo ya mara kadhaa. 4k kila wakikutana ili akienda siku ya kwanza asiridhike, abaki anadai 8k na ameonja supu ya jirani 😂😂😂
  6. leh

    Selective Call Forwarding

    Samsung Note 10+
  7. leh

    Selective Call Forwarding

    blo shida ya block ni huwa inasema namba "busy". nataka nisipatikane kabisa kabisa
  8. leh

    Selective Call Forwarding

    Wadau, kuna mahali nataka niende niache ofisini sipatikani. Tatizo ni kwamba bado nataka niwe hewani kwa watu wengine wote, iwe tu namba za ofisini ndio hawanipati. Najua kuna uwezekano wa call forwarding kwa namba zote (on condition or always), lakini nachotafuta ni kama namba kumi hivi...
  9. leh

    RC Gambo: Kenya wanatumia Corona kuua utalii wa Tanzania!

    mara ya mwisho, wamesema kwa kutumia fenesi wamegundua kuwa laboratory zetu hazipimi kirusi cha Corona. leo ndio wametumia hayo maabara kubaini kwamba madereva hawana Corona. kweli....
  10. leh

    Msaada Kupiga Simu Australia

    Nao wapigia wanatumia landline mkuu
  11. leh

    Msaada Kupiga Simu Australia

    Nilikuwa najaribu kujiunga kifurushi cha kimataifa kwa line ya airtel ili nipige Australia lakini nikakuta hawana international bundle inayoniruhusu kupiga huko. Naona Tigo pia kama hawana. Naomba kuuliza kama kuna mtu mwingine humu ndani hupiga simu huko na anatumia mtandao gani.
  12. leh

    Lectures: Jifunze English katika Thread hii Bure kabisa

    Mkuu, nimependa kwamba unataka kufunza watu kiingereza. Whenever I look at where we (Tanzanians) are as English speakers, I am grasped by a sadness so deep... I digress, ngoja nirudi topic. Nafurahi unataka kufunza watu kiingereza, na mimi naomba nikueleweshe vitu viwili vitatu pia. Naelewa...
  13. leh

    Ogopa ma senior bachelor

    hivyo kumbe mi Senior Bachelor. plans za kuwa Field Marshall zipo sana tu, after all, nina bar kama saba jirani na nyumbani :cool:
  14. leh

    Game za kucheza kutumia tv zinaitwaje?

    hadi laki nane+ PS4 Xbox One Mkuu
  15. leh

    Msaada BancABC na Paypal

    nimechukua Visa TravelMoney card pale BancABC ya dollars na kuweka vijisenti. nilikamilisha kila kitu na nilipoenda nyumbani nikaunganisha card na PayPal. tatizo linatokea kwamba haikubali transactions zozote. nilifanya verification PayPal walikata $1.95 ila hawakurudisha. ni wapi ninapotea...
Back
Top Bottom