Mm nashukuru tuu maana kuna watu walikuwa wanautafuta umaarufu kupitia mwanya huu, yaani ilikuwa ni kichefuchefu kumwangalia pole pole akiongea pumba kwenye media
Nimegundua hapa Ccm mnacheza na mind zetu mnataka kutuaminisha ya kuwa upinzani nao wamepewa mlungula lakini hizi propaganda zenu tulishazijua kuanzia escrow Mlisema hivyo hivyo lakini ukweli ni kwamba miswada yote iliyowahi Kuletwa Kwa dharura imetuingizia taifa hasara acheni danganya toto...
Mm namshangaa Sana Zitto kusema kwamba Mbowe anatumia shangingi Kwa fedha hizo hizo za wananchi Aya basi yeye ni mzalendo wa kweli? Embu tuchambue uzalendo wa Zitto?kumiliki hummer 3 Ndio uzalendo?? Range Rover je na hayo mengine tusiyoyajua
Ila kweli polisi na CCM ni wameshachanganyikiwa na huyu mleta uzi ndio kabisa chizi hivi kweli visu vitatu na kofia mbili na manati na buti pair mbili ndio vifaa vya kijeshi vya kusambaza mikoa yote???msituone watz wajinga sana kwa taarifa yako tumeamka haswa
Kazi ya watz sisi ni kushabikia mavyama kibao lakini hatuangalii faida zake wala madhara yake mm niseme tuu ukiona nchi ina vyama zaidi ya vinne ujue hiyo nchi inamatatizo mabwa sana ya kisiasa inamaana raia wake hawawezi kuungana na kuwa na kauli moja ndio maana kila mtu ana chama chake kwa...
Mbona watu wanaomponda Mengi ni wa CCM tuu kwani unataka kusema huyu mzee ana beef na viongozi wa CCM tuu? Wenda huyu mzee ni mwiba kwa mafisadi kwa hiyo CCM hawampendi kabisa
Hii inatokea tuu Tanzania hadi wasomi wanakaa wanatetea wizi huu hivi hawa wanaotusaidia wanatuonaje watz?kama sisi wenyewe tunaibiwa na kuwatetea wezi???
Cha kufanya tembelea Marian na st Marregoreth ya Moshi halafu fanya assesment yako kisha nenda za watu binafsi fanya assesment yako halafu njoo utuambia zinafanana? kule kuna maadili na maisha tofauti na shule nyingine yoyote lakini pia ada kweli imepanda sana jamani.
kwani ndie aliewatuma wagawane pesa zetu? ukifuatilia hizo za huyo singasinga ni wakina nani walichukua utakuta na wakina Muhongo wamo, tusubir maamuzi ya jk ila hili swala ni mtego sana kwa chama
kila raia anatambua hili suala la Escrow ukiangalia mtiririko wake ni mpango wa viongozi wote wakubwa wa CCM dawa ya tatizo sio kumuondoa Muhongo ila kutokana na nafasi ya Muhongo na CCM kujisafisha itabidi awajibishwe pia ni kufanya haya mambo yaishe kwa kifupi huyu prof ni mbuzi wa kafara...
acheni kutudanganya hawezi kuleta maendeleo yule ameliingizia tanescohasara mara nne watanzania tutalipa ni hasara ya nchi kiongozi mwenye dharau asiejali maadili ya kazi yake anafanyia udalali wezi tena kwenye ofisi ya umma kutuibia sisi. Anadharau wawekezaji wa ndani, pumbafu go to hell Muhongo
Dhambi ya damu za watu haziishi kirahisi mpeni sifa tuu lakini yeye anawapumbaza apate kile anachokitaka. Watanzania wengi ni watu wakusahau hata ukiwaulia ndugu zao kesho ukawapa mia mbili watakusifia. Shame on us
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.