Recent content by Lee Napoleon

  1. Lee Napoleon

    Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

    Usiwe nice guy... be GENTLEMAN afu acha kudharau watu. hao unaowaona washamba una cha kujifundisha kwao usidharau mtu ni kosa kubwa sana
  2. Lee Napoleon

    Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

    HII FORUM NI YA UREMBO, MVUTO NA UTANASHATI MTU KAULIZA SUALA AKIWA NDANI YA MLENGO WA FORUM MNAANZA KURUSHA MANENO YA SHOMBO SHOMBO AS IF KATUMA SEHEM YA KAMBI YA JESHI. KAMA MAMBO YA UTANASHATI SIO VITU VYAKO HATA HII FORUM USIINGIE SIO KILA NAMNA YA UTANASHATI NDO INAHUSISHWA NA UCHOKO...
  3. Lee Napoleon

    Holocaust Yaja

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Lee Napoleon

    Nimeandikiwa msg hii!

    Dah [emoji23][emoji23][emoji23] akina uchebe mnatudiss
  5. Lee Napoleon

    Nimeandikiwa msg hii!

    ukweli mtupu mkuu, hii kitu nashangaa now pisi hata zile zilokawa zinaringa chuo zinajileta afu sina appetite Niko busy nina mwanamke wangu mmoja hata kushuulika na hawa wengine nakua mzito kinoma. ajikeep busy tu
  6. Lee Napoleon

    Kijana tafuta pesa upate mapenzi ya kweli

    Comments za wananchi zinaniacha hoi hadi sasa sijajua hela nazotafuta ni za kupata mapenzi au kuishi maisha Bora [emoji2363]
  7. Lee Napoleon

    Haikuwa rahisi moyo uliniuma mno hatimaye nikaishia njiani, nikamuacha aende lakini leo...

    bro sikutaka kucomment nlitaka nisome tu ila hii comment umeniattack...
  8. Lee Napoleon

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Chai boss uongo? [emoji23][emoji23]
  9. Lee Napoleon

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwani chai mnamaanisha nini wazee [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Lee Napoleon

    Zijue sababu 10 za wanawake walioolewa kuchepuka

    Hiyo ya mababu niliiskiaga aisee
  11. Lee Napoleon

    Eti jamani urembo wa mwanamke unachangia kunogesha tendo?

    [emoji38][emoji38][emoji38] dah
  12. Lee Napoleon

    Zijue sababu 10 za wanawake walioolewa kuchepuka

    Doggy style hapo roho imeniuma tayari na sijaoa
  13. Lee Napoleon

    Badili maisha yako leo: Yajue Mawe Saba na Madini saba tu yanayoweza kukubadilishia au kukuletea unachotaka

    Kabla sijaendelea kusoma mheshimiwa Rakims, kama nlizaliwa alhamis najuaje kuwa sayari ya Mars ilikua wapi na nanuia saa ngap na kuvaa saa ngapi. brou maana ni fumbo lingine
  14. Lee Napoleon

    Mwanamke hawezi kukusaliti kama unatimiza haya

    DADA MBONA UNATUCHOMEA, HUJATAJA KUFIKISHA KILELENI TUSIPOFIKISHA TUKAACHWA TUTARUDI KWAKO SHENXXX
Back
Top Bottom