Recent content by Lee Kantu

  1. L

    Hivi ni nani anachezacheza na tune ya Wimbo wa Taifa?

    Hayo yote ni mapigo tu wimbo ni uleule ujumbe ni ule ule, uweke mkono kifuani au usimame wima haipunguzi wala kuongeza uzalendo wa mtu. Mzalendo wa kweli ni yule anailipenda taifa lake na yupo tayari kufa kwa ajili ya taifa lake
  2. L

    Hili ndilo andiko lililopelekea kufungiwa kwa Shafii Dauda aka DIGALa kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka 5

    Katika sehemu ambapo hakuna viongozi ni TFF ndio maana soka la bongo halijawahi kuwa na manufaa
  3. L

    ALAMA ya 666 tuipokee, Itarahisisha mengi. Watu waache kupotosha.

    Huo Uhuru unaouzungumzia wewe ni Uhuru gani? Mifumo ya kubadilishana fedha iwekwe kwenye miili yenu ilo ni jambo LA kufurahia? Kwani kadi kama ATM zimeshindwa kufanya kazi? Some I maandiko acheni kudanganywa na mashetani mwisho umekalibia
  4. L

    ALAMA ya 666 tuipokee, Itarahisisha mengi. Watu waache kupotosha.

    Ma ajent wa shetan wameanza kumpigia campaign mkuu wao
  5. L

    Nishaurini wakuu chanjo yaniogopesha

    Achana na chanjo kama unapata wa kuhonga honga utengenezewe cheti
  6. L

    Wapenda utamu wote hapa.

    Nihatari sana, unaweza ukamuangalia MTU na heshima zake, lakini akifika hapo mahali lazima ashuke chini
  7. L

    Wapenda utamu wote hapa.

    Wakuuu hii kitu iyacheni tu kama ilivyo..nihatariii!!
  8. L

    Mwanza: Soko la Mlango mmoja lateketea kwa moto

    Polen sana watu wa mwanza
  9. L

    Tathimini ya maendeleo ya vitu:Flyover ya Tazara na Dreamliner, imewaongezea CCM kuwa kiasi gani Ukonga na Monduli

    Unaposema ameshinda kwa kura 70,000 unatakiwa pia uonyeshe na idadi ya watu walioandikishwa ndio tujue kua waliopiga kura ni wengi au wachache.
Back
Top Bottom